02/08/2026
Namba 6 ya kutokea Urusi , nimeamua kujitambulisha mwenyewe🤓
Hapa Moscow kuna usafiri wa aina mbalimbali ikiwemo Skuta, baiskeli, daladala, na treni, vyote hivi kuvitumia k**a usafiri haizidi shilingo 2500 za kibongo na haijalishi unaenda umbali gani!!!