Phidtech Ict Solutions

Phidtech Ict Solutions This is an Official Facebook site for Phidtech Ict Solutions a freelancing Facebook site for our customers

18/07/2022
JIBU KWA USAHIHI MASWALI YETU NA UJISHINDIE FEDHA TÀSLIMU KILA WIKI.SWALI:Tutajie michuano ambayo Pape Osman Sakho alifu...
17/07/2022

JIBU KWA USAHIHI MASWALI YETU NA UJISHINDIE FEDHA TÀSLIMU KILA WIKI.

SWALI:Tutajie michuano ambayo Pape Osman Sakho alifunga goli hili,ilikuwa lini,ilikuwa mechi kati ya Timu zipi,Mchezo huo ulimalizikaje Kwa upande wa magoli?

MAELEKEZO
Washindi 5 wa kwanza kujibu Kwa Usahii Watapewa zawadi za fedha.

1.Hakikisha umefollow page zifuatazo

Facebook

https://www.facebook.com/Phidtech-Ict-Solutions-101471962583521/

INSTAGRAM

https://instagram.com/phidtechictsolutions

NB:K**A HAUJA FOLLOW PAGE HATA K**A UMEJIBU KWA USAHII HAUTAPEWA ZAWADI

ZAWADI ZITATOLEWA TAR 25/07/2022

JIBU KWA USAHIHI MASWALI YETU NA UJISHINDIE FEDHA TÀSLIMU KILA WIKI.SWALI:Tutajie michuano ambayo Pape Osman Sakho alifu...
16/07/2022

JIBU KWA USAHIHI MASWALI YETU NA UJISHINDIE FEDHA TÀSLIMU KILA WIKI.

SWALI:Tutajie michuano ambayo Pape Osman Sakho alifunga goli hili,ilikuwa lini,ilikuwa mechi kati ya Timu zipi,Mchezo huo ulimalizikaje Kwa upande wa magoli?

MAELEKEZO
Washindi 5 wa kwanza kujibu Kwa Usahii Watapewa zawadi za fedha.
1.Hakikisha umefollow page zifuatazo

Facebook

https://www.facebook.com/Phidtech-Ict-Solutions-101471962583521/
AU

https://www.facebook.com/pntvhabari

INSTAGRAM
https://instagram.com/phidtechictsolutions

AU

https://instagram.com/pntvtanzania

NB:K**A HAUJA FOLLOW PAGE HATA K**A UMEJIBU KWA USAHII HAUTAPEWA ZAWADI

ZAWADI ZITATOLEWA TAR 25/07/2022

15/07/2022

Karibu Phidtech Ict Solutions,Pamoja na huduma mbalimbali tunazotoa Tunakaribisha wateja wetu wanaopenda tuwasaidie Kuomba vyuo mtandaoni vya ngazi zote za Kielimu.Tunao uzoefu wa miaka 6 Sasa na tunatunza kumbukumbu za wateja wetu ili mteja akiitaji taarifa zake tumtumie.Gharama zetu ni Nafuu sana
Unaweza kujiunga na Group la watsapp la wateja wetu kupitia link hii 👇
https://chat.whatsapp.com/KBMbqmkSPmJ4RxJpzBl16p
Au kuwasiliana nasi Watsapp 0621477721

ANGALIZO:Tunawahudumia wateja wetu wanaotumia Watsapp au Email ili iwe rahisi kuwatumia taarifa za namna tulivyowahudumia.

Karibu Phidtech

Karibu Phidtech Ict Solutions,Pamoja na huduma mbalimbali tunazotoa Tunapenda kuwakaribisha wateja wetu watakaopenda tuw...
15/07/2022

Karibu Phidtech Ict Solutions,Pamoja na huduma mbalimbali tunazotoa Tunapenda kuwakaribisha wateja wetu watakaopenda tuwasaidie Kuomba vyuo na Mikopo mtandaoni.Tunao uzoefu wa miaka 6 Sasa na tunatunza kumbukumbu za wateja wetu Kwa miaka mitano ili mteja akiitaji taarifa zake tumtumie.Gharama zetu ni Nafuu sana
Unaweza kujiunga na Group la watsapp la wateja wetu kupitia link hii
👇👇

https://chat.whatsapp.com/KBMbqmkSPmJ4RxJpzBl16p
Au kuwasiliana nasi Watsapp 0621477721

ANGALIZO:Tunawahudumia wateja wetu wanaotumia Watsapp au Email ili iwe rahisi kuwatumia taarifa za namna tulivyowahudumia.

Karibu Phidtech

04/07/2022

JINSI YA KUPATA SIMU ILIYOPOTEA
Makala Hii Imetolewa Na: Phidtech Ict Solutions,July 2022.

Ni Jambo la Muhimu kuhifadhi IMEI namba ya simu yako inayopatikana kwenye karatasi zilizomo kwenye box la simu uliyonunua au nyuma ya Simu unapotoa mfuniko wa nyuma ya Simu.IMEI namba inaweza kuwa zaidi ya Moja Kutegemea na leini za simu zinazoruhusiwa kwenye simu Yako.Kama simu inaruhusu leini za simu mbili ivyo utakuta IMEI namba mbili.IMEI namba ni muhimu kwa sababu hii ni sawa na namba ya utambulisho ya simu yako ndio maana ni muhimu kuwa nayo pembeni au sehemu salama.

👉Jinsi ya kupata simu iliyopotea kwa kutumia IMEI
Kwasasa zipo programu nyingi sana zinazodai kuwa zina uwezo wa kupata simu iliyopotea kwa kutumia IMEI namba, lakini sio za kuaminika kwa asilimia 100.

Changamoto ni kuwa zipo apps Play Store kwajili ya kutoa huduma hii nyingi na zinalalamikiwa kwa kutofanya kazi kwa usahihi.

👉Njia ya Kupata Simu Iliyopotea Tunayopendekeza
Hakikisha unatoa taarifa polisi kwani hapa Tanzania Sasa kuna kitengo cha cyber crime ambacho kipo kwenye kila kituo cha polisi ambacho kitengo hiki ushirikiana na TCRA kwaajili ya kutoa huduma kwa wananchi. Hivyo basi hatua ya kwanza ni toa taarifa polisi na hakikisha una IMEI namba au risiti ya simu iliyopotea.

👉Unaweza pia kuwasiliana na kampuni ya kutoa huduma za simu uliyokuwa unatumia kabla ya simu yako kuibiwa, hakikisha unakuwa na IMEI ya simu yako kabla ya kutoa taarifa.
👉Kama Bado haujafanikiwa unaweza kutumia programu mbalimbali za kupata simu iliyopotea kwa kutumia IMEI, Unaweza kujaribu hatua hii k**a hatua tulizoa apo juu hazijafanikiwa mfano wa Programu hizi ni k**a vile Find my device nk

Address

NYAISHOZI Street
Karagwe
35408

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Phidtech Ict Solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Phidtech Ict Solutions:

Share