Kaka Wanted Printing

  • Home
  • Kaka Wanted Printing

Kaka Wanted Printing Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kaka Wanted Printing, Printing Service, .

Tunaprint Mifuko jamani.A4 bei ni 65,000 pcs 100.Tunapatikana Buzuruga Mwanza.. Mikoani tunafanya Delivery kwa uaminifu ...
30/05/2026

Tunaprint Mifuko jamani.

A4 bei ni 65,000 pcs 100.

Tunapatikana Buzuruga Mwanza.. Mikoani tunafanya Delivery kwa uaminifu Mkubwa.

Wasiliana nasi 0656781501

Yes we Print Fashion Tshirts..Tupo Buzuruga Stendi Mwanza.Wasiliana nasi 0656781501
30/05/2026

Yes we Print Fashion Tshirts..

Tupo Buzuruga Stendi Mwanza.

Wasiliana nasi 0656781501

17/05/2026

Tshirt nzito sana na Quality ni Top Norch.. Jumla 18,000 kuanzia pcs 5. na rejareja ni 23,000 Tshirt Moja.. Ukitaka Tuweke Mkoa,mtaa,mji unakotoka Tupe kazi sisi😎

Tunapatikana Buzuruga Frame za msikitini, Mkoani Mwanza

Wasiliana nasi 0656781501

Delivery to Dar es salaam.
17/05/2026

Delivery to Dar es salaam.

17/05/2026

Jipatie T-shirt Yako Leo.

Bei ya Tshirt moja ni 15,000
na bei ya Jumla Ni 12,000 kuanzia tshirt 5.. Brand ni Manga..

Pia zipo zile Tshirt nzito kabisa Bei ya jumla ni 18,000 na rejareja 20,000

unaweza leta Mji wako tukaufanyia Design yoyote kwenye tshirt unazohitaji.. kisha ukaanza Biashara kuwauzia wanyumbani kwenuπŸ˜€

Zipo Rangi na size Zote..

Wasiliana nami whatsapp 0656781501

Jipatie Tshirt Yako leo.  Bei ya Tshirt moja ni 15,000 na bei ya Jumla Ni 12,000 kuanzia tshirt 5.. Brand ni Manga.. una...
17/05/2026

Jipatie Tshirt Yako leo. Bei ya Tshirt moja ni 15,000 na bei ya Jumla Ni 12,000 kuanzia tshirt 5.. Brand ni Manga.. unaweza leta Mji wako tukacustomize tshirt unazohitaji kisha ukaanza Biashara kuwauzia wanyumbani kwenuπŸ˜€ #0656781501

13/05/2026

Yes We print.

Wasiliana nasi 0656781501

Tupo Mkoani Mwanza

29/04/2026

𝗔𝗑𝗭𝗔 π—•π—œπ—”π—¦π—›π—”π—₯𝗔 π—žπ—ͺ𝗔 π— π—§π—”π—π—œ π—ͺ𝗔 𝟰𝟬𝟬,𝟬𝟬𝟬 π—§π—¨βœ…

Je, unatafuta ujuzi unaoweza kukuingizia kipato kila siku?
Jifunze Screen Printing na uwe mtaalamu wa kuprint: πŸ‘• T-Shirts
πŸ‘œ Mifuko
πŸ“¦ Vifungashio
na bidhaa nyingine nyingi za kibiashara

πŸ“Œ Mafunzo ni ya vitendo (practical) kuanzia mwanzo hadi Uwe mtaalamu

Utajifunza:
βœ… Kutengeneza na kuandaa screen (frame)
βœ… Mchanganyiko sahihi wa rangi
βœ… Printing safi na yenye ubora
βœ… Mbinu za bei na kupata wateja
βœ… Jinsi ya kuanzisha biashara yako mwenyewe

πŸ’° Cha kuvutia zaidiπŸ‘‡
πŸš€ Unaweza kuanza hii biashara kwa mtaji wa Tsh 400,000 tu!
Hakuna mashine ghali, hakuna uzoefu wa awali unaohitajika.

πŸŽ“ Aina za Mafunzo na Gharama:
πŸ”Ή Ana kwa Ana: Tsh 200,000/=
πŸ”Ή Online: Tsh 100,000/=

πŸ‘₯ Mafunzo yanafaa kwa:
βœ” Vijana wanaotafuta ajira mbadala
βœ” Wanaotaka kujiajiri
βœ” Wamiliki wa biashara ndogo
βœ” Mtu yeyote mwenye ndoto ya kipato cha uhakika

Usiache ndoto yako ibaki ndoto β€” geuza kuwa biashara!

πŸ“² Wasiliana nasi sasa 0656781501 kwa usajili na maelezo zaidi. Nafasi ni chache!

Address


Opening Hours

Monday 08:00 - 19:00
Tuesday 08:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 19:00
Friday 08:00 - 19:00
Saturday 08:00 - 19:00

Telephone

+255656781501

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kaka Wanted Printing posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kaka Wanted Printing:

Shortcuts

Share