Mayunga Entertainment

Mayunga Entertainment Deals With: Computers Repares, Windows Installation, Socially Network Connections, Microsoft Office Programs, Movies And Music Intertainments Supplier.

''Struggling Hard Always Becomes Good Perfomance No Matter What Times De Past U Failed''

Zamani kila mchezaji akifanya vizuri analinganishwa na Chama, leo naona kila mfungaji akifunga wanafananisha na Goli la ...
24/05/2026

Zamani kila mchezaji akifanya vizuri analinganishwa na Chama, leo naona kila mfungaji akifunga wanafananisha na Goli la Dunia.
Swali kwani hakuna sehemu ya mifano ili kupima viwango vya wachezaji wao hadi iwe kwa Simba? πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ’ͺ

24/05/2026
K**a Nawaona Tena Wanataka Kujaa Kwenye Mfumo 😁πŸ’ͺπŸ‘‡
15/05/2026

K**a Nawaona Tena Wanataka Kujaa Kwenye Mfumo 😁πŸ’ͺπŸ‘‡

Alisikika Muha mmoja wa Kigoma akibwabwaja domo lake, a few moments   akafanya alichozoea kufanya akiwa uwanjani πŸ˜‚πŸ’ͺπŸ‘‡βœοΈ.
14/05/2026

Alisikika Muha mmoja wa Kigoma akibwabwaja domo lake, a few moments akafanya alichozoea kufanya akiwa uwanjani πŸ˜‚πŸ’ͺπŸ‘‡βœοΈ.

Alisikika Mchambuzi Mmoja Akisema Al Ahly Hawana Ubora Kwa Sasa, Hivyo Atakuwa na Presha Kubwa Kuliko Utopolonaizesheni....
23/01/2026

Alisikika Mchambuzi Mmoja Akisema Al Ahly Hawana Ubora Kwa Sasa, Hivyo Atakuwa na Presha Kubwa Kuliko Utopolonaizesheni. Ukipata Nafasi Kumwambia Jambo Utaanzia Wapi?
Viwili Vinalegeza Miguu 🀣

Huyu mwamba alipendwa na mashabiki karibia 98% mchezaji hana mipaka popote kambi na haya ni maisha yake hapangiwi lini a...
21/01/2026

Huyu mwamba alipendwa na mashabiki karibia 98% mchezaji hana mipaka popote kambi na haya ni maisha yake hapangiwi lini aende wapi, wala usiwafundishe watu cha kuongea wana uhuru ukiondoka lazima uitwe msaliti ukirudi unakaribishwa tena kwa upendo zaidi ya mwanzo 🀣πŸ’ͺ✍️.

16/01/2026

Hii ndiyo maana halisi ya pisi kali, siyo unajiita super woman wakati hata kupiga deki nyumba yako huwezi πŸ˜‚

Ikifika swala la kumtambua MVP mnaleta habari za magoli ya penaliti, haya fungeni na nyinyi k**a rahisi 🀣πŸ’ͺ✍️
13/01/2026

Ikifika swala la kumtambua MVP mnaleta habari za magoli ya penaliti, haya fungeni na nyinyi k**a rahisi 🀣πŸ’ͺ✍️

1995 - 2026=31YrsπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Timu Yangu,Furaha Yangu,Maumivu Yangu,Sitaki Ushauri.  πŸ’ͺ✍️.
11/01/2026

1995 - 2026=31Yrs

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Timu Yangu,
Furaha Yangu,
Maumivu Yangu,
Sitaki Ushauri.
πŸ’ͺ✍️.

Address

Nyanza
Geita

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mayunga Entertainment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share