Fa Smart Technologies Tz

Fa Smart Technologies Tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fa Smart Technologies Tz, Computer Company, Dodoma.

Fa smart Technologies and Analytics Company Limited branch of Dodoma Tanzania we welcome our customers to get better and quality services in Electrical fence,CCTV camera,alarm security,fire alarm detection,ICT equipment's ,Motor Gate and ICT solutions

Karibuni sana wadau Makao Makuu Dodoma kwa huduma za kisasa zaidi na FA SMART TECHNOLOGIES AND ANALYTICS COMPANY LIMITED
27/08/2026

Karibuni sana wadau Makao Makuu Dodoma kwa huduma za kisasa zaidi na FA SMART TECHNOLOGIES AND ANALYTICS COMPANY LIMITED

27/08/2026

Here we go Tanzania

26/08/2026

Never give up King

Sempa Gama namba mbaya nakubali Teacher
22/08/2026

Sempa Gama namba mbaya nakubali Teacher

Sijawahi kuona Mashabiki wavumilivu k**a wa Ssc maana Timu misimu mitano yeye anajenga timu tu makombe yeye siyo shida z...
16/08/2026

Sijawahi kuona Mashabiki wavumilivu k**a wa Ssc maana Timu misimu mitano yeye anajenga timu tu makombe yeye siyo shida zake daah Mungu tupatie Mzee Hanspope wa AI labda atatufaa k**a yule hawa wengine wamekuwa machawa tu na sio wafia timu

Jamanieee amkeni hivi mnaamini huyu anastahili sifa tunazopewa kweli?
16/08/2026

Jamanieee amkeni hivi mnaamini huyu anastahili sifa tunazopewa kweli?

Siku moja watu wakiwa kwenye sintofahamu Furaha iliyojengwa na Hanspope ndani ya Simba hasa kwenye sajili za Simba kulik...
16/08/2026

Siku moja watu wakiwa kwenye sintofahamu Furaha iliyojengwa na Hanspope ndani ya Simba hasa kwenye sajili za Simba kulikuwa na Komandoo mmoja tu ambae aliweza kufanya usajili ndani ya nchi na watu wakashangaa yaani hajawahi kufeli siyo mungine ni komandoo aliyezimika na nafasi yake haijawahi pata mtu adileo hii Simba amebaki na sizitaki mbichi hizi amkeni wazee mnaua timu #84 Mchezaji mstaafu

Yote kwa yote tutakuja kuambiwa kocha hafai kwa wachezaji hawa tujiandae kisaikolojia toa kante weka bajabeer halafu ach...
16/08/2026

Yote kwa yote tutakuja kuambiwa kocha hafai kwa wachezaji hawa tujiandae kisaikolojia toa kante weka bajabeer halafu acha naby leta Doumbia daah mpira hauchezwi chooni kwamba watu hawaoni Uongozi aibu oneni nyinyi binafsi naona simba wakiendelea kufungwa sana mipira ya kutenga maana hawana beki katili ushawahi kujiuliza unabeki kibabage andunje,una kiungo bajabeer halafu unategemea aende kuokoa mipira ya juu tunachekesha bajabeer atakupa utamu mipira ya chini sio juu mtanikumbuka michuano ya klabu bingwa ikianza wadau niko zangu uzuluni napunga upepo wa mto Ruvuma kuhusu Chimba mwakahuu mh mh mh

Vile Viongozi uchwara wa Simba Sports Kuchimba dawa wanavyo zoom wachezaji na kuwaacha ndivyo inavyoweza kujizika yenyew...
16/08/2026

Vile Viongozi uchwara wa Simba Sports Kuchimba dawa wanavyo zoom wachezaji na kuwaacha ndivyo inavyoweza kujizika yenyewe hamna timu bali uongozi akili ya Soccer kisoda daaah inauma sana Fei kwa macho na Paul Peter kwa macho ushuzi tuu

Jamani wanasimba wenzangu tatizo sio nini Leo naomba niwaambie kuondoka kwa huyu Mzee ndio mwanzo wa Simba kuyumba niami...
15/08/2026

Jamani wanasimba wenzangu tatizo sio nini Leo naomba niwaambie kuondoka kwa huyu Mzee ndio mwanzo wa Simba kuyumba niaminini mimi hakuna uongozi hapo magumashi tu yaliyobaki ni wazee wa ten percent ndio hawa waliobakia Simba inatumbukia shimoni huku tunaona jiulize unaacha kante unachukua kalestle daah

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fa Smart Technologies Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share