PigaTech SoftCompany

PigaTech SoftCompany Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from PigaTech SoftCompany, Software Company, Tech Street, Dodoma.

We are providing the following services WEB & SYSTEM DEVELOPMENT | APPS DEVELOPMENT | E-COMMERCE SOLUTIONS | UX/UI DESIGN | DIGITAL MARKETING | HOSTING & MAINTENANCE

"We develop your beautiful ideas "

visit us www.pigatechsoft.com

TEMBELEA KWENYE ACCOUNTS ZETU kwenye Mitandao ya Kijamii,  kwa Jina la PIGATECH SOFTCOMPANY
25/05/2026

TEMBELEA KWENYE ACCOUNTS ZETU kwenye Mitandao ya Kijamii, kwa Jina la PIGATECH SOFTCOMPANY

17/03/2026

SIMUVOTE TANZANIA | Tembeleea 👉 simuvote.com

SimuVote
Innovative Voting Solution by PigaTech SoftCompany

SimuVote ni mfumo uliotengenezwa na software company inayoitwa PigaTech SoftCompany, kwa lengo la kutatua changamoto mbalimbali katika upigaji kura, ikiwemo:

Changamoto Zinazotatuliwa:
Kupoteza muda wakati wa uchaguzi

1. Matumizi ya karatasi yanayochafua mazingira
2. Wizi wa kura
3. Kutokuwepo kwa uhuru kwa mpiga kura na anayepigiwa kura
4. Kuchelewa kwa matokeo kutangazwa

Jinsi SimuVote Inavyotatua Changamoto Hizi:
1. Rahisi kutumia - kinachohitajika ni jina na namba ya simu ya mpiga kura tu.
2. Upigaji kura wa nafasi nyingi kwa wakati mmoja - unaweza kumpigia kura Mwenyekiti, Katibu na viongozi wengine kwa pamoja.
3. Matokeo ya wakati halisi (Real-time) - kila kura inapoongezeka, inaonekana papo hapo.
4. Usiri wa mpiga kura - hakuna picha wala muonekano wa mtu unaoonyeshwa.
5. Uwazi na uhuru wa kuchagua - kila mtu anachagua bila shinikizo.
6. Matokeo hujitokeza mara baada ya uchaguzi kumalizika.
7. Usalama na faragha - matokeo hujifuta kiotomatiki siku moja baada ya uchaguzi.
8. Bure kabisa kutumia - hakuna gharama yoyote.
9. Msaada kwa wateja (Technical Support) — tunapatikana *24/7* kukusaidia.

Tafuta na Utufuate kwenye Mitandao ya Kijamii:
âś…Instagram: SimuVote Tanzania
âś…Facebook: SimuVote Tanzania
âś…Twitter (X): SimuVote Tanzania

Address

Tech Street
Dodoma
41107

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 16:00
Saturday 08:00 - 14:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PigaTech SoftCompany posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share