21/03/2026
Habari... Naitwa Eliah Pearson Aym Ellie , Karibuni kwenye official page yetu ya Facebook! Hapa tunakuletea suluhisho kamili kwa changamoto zako za kila siku.
☑️ WiFi yenye kasi
☑️ Mabando ya SME yanayokidhi mahitaji yako
☑️ Simu za mkopo kwa urahisi
☑️ Tunashughulikia changamoto mbalimbali zinazohusiana na huduma zetu kwa wateja
Jiunge nasi, uwe sehemu ya jamii yetu, na uwe connected kila wakati – kwa huduma bora, msaada wa haraka, na suluhisho zinazokufaa!”**!”