18/09/2025
RING LIGHT INCH 10
Taa maalum kwa ajili ya matumizi ya kurekodi Video na Picha kwa kutumia simu yako ya mkononi.
Ni taa ambazo zinasaidia kuleta mwanga mzuri na kufanya picha au video iwe na mvuto zaidi.
Ringlight 10 inches Original Na Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu
Boresha Video na Picha zako kwa kutumia Ringlight zenye Ubora wa hali ya juu.
Zinafaa kwa wafanyabiashara na watu binafsi.
1. Saluni za k**e
2. Saluni za kiume
3. Watu wa urembo na makeup
4. Wafanyabiashara mtandaoni
6. Watengeneza maudhui mtandaoni (Content Creators)
7. Watu wa YouTube
8. Watu wa mapambo
Faida zake ni hizi hapa:-
1. Zinaongeza ubora wa Video na Picha
2. Zinakusaidia kupiga Picha na kurekodi Video bila ya msaada wa mtu
3. Zina mwanga mzuri sana na ang'avu
4. Haziumizi Macho
Bei ya Ring light Inch 10
➡️ 10" inches 45,000 tu/= inakuwa na
✍ stand ya kushikilia ring light
✍ Phone holder moja (1)
✍ Remote ya ku control mwanga
Tunauza Jumla na Rejareja.
Tunapatikana Mbezi Mwisho,
Dar es Salaam, Tanzania
Mikoani na Nchi za Jirani Unatumiwa kwa Uaminifu Mkubwa
Huduma ya Delivery Ipo kwa gharama za Mteja.
Kwa Mawasiliano Simu/WhatsApp 0752026992
Kwa wale mnaohitaji Wireless Microphone double na single pia zipo utapata kwa bei ya jumla na rejareja pia.
Zipo Wireless Microphone za K9 na K11
Kwa Mawasiliano Simu/WhatsApp 0752026992