DSM Tezeee

DSM Tezeee hardware and software
that are the foundations of modern computer systems. Computers
are now a fundamental part of everyday lives, controlling everything

Image Restoration  Ai Chatgpt Upload image Type: fix the image perfectly.
17/06/2025

Image Restoration
Ai Chatgpt
Upload image
Type: fix the image perfectly.





Biashara 25 Ambazo Zinadharau​liwa Na Watu Wengi Lakini Zina Faida Kubwa.Chagua Yako.1. Mgahawa/mama ntilieMaeneo bora: ...
08/06/2025

Biashara 25 Ambazo Zinadharau​liwa Na Watu Wengi Lakini Zina Faida Kubwa.Chagua Yako.

1. Mgahawa/mama ntilie

Maeneo bora: Masokoni, migodini, stendi, karibu na vyuo au hosteli.

Faida: Mauzo ya kila siku, gharama ndogo za uendeshaji, wateja wa kudumu.

2. Udalali wa bidhaa na huduma (dalali wa kila kitu)

Kuanzia viwanja, nyumba, magari, hadi samani.

Faida,Unahitaji ujuzi wa mawasiliano tu na mtandao wa watu.

3. Biashara ya vitafunwa na bites

K**a sambusa, maandazi, keki, chapati, visheti n.k.

Faida: Inaweza kuuzwa maeneo mengi mashuleni, maofisini, barabarani.

4. Wakala wa kusajili laini za simu

Ukiwa na vijana wa mitaani + ofisi ndogo = commission kubwa kutoka kampuni.Faida,Uwekezaji mdogo, mapato ya kila mwezi yanaweza kufika hadi milioni 1.

5. Biashara ya matunda

Soko lake ni la kila siku na linaendana na afya.

Inaongezeka maradufu kwenye maeneo ya mijini.

6. Carwash

Ingawa inahitaji mtaji wa mashine na maji, faida ni kubwa, hasa maeneo ya magari mengi.

7. Uuzaji wa rasta (za kusuka)

Ukiwa na kiwanda au unauza kwa jumla – faida ni mara dufu.

8. Biashara ya Ice Cream au Juice za Matunda Fresh.

Soko kubwa kwa watoto na watu wa ofisini.

9. Wakala wa Mabus na Mizigo

Mizigo ya abiria ni biashara yenye faida kubwa na inahitaji uaminifu.

10. CD/DVD Library

Maeneo ya uswahilini bado yana soko kubwa la filamu, muziki, michezo ya video.

11. Mihogo Mashuleni

Faida nzuri kwa gharama ndogo ya uendeshaji. Mihogo huuzwa sana mashuleni.

12. Genge (matunda na mboga mboga)

Biashara inayodhaniwa ni ya watu “wa kawaida,” lakini faida ni kubwa sana kila siku.

13. Upigaji wa Picha (Photography)

Hasa kwenye sherehe, vyeti vya passport, au matukio ya kijamii.

14. Kibanda cha Chipsi

Mteja anapenda chakula haraka. Ukiweka vyema, faida ni kubwa.

15. Ufundi (ushonaji, welding, umeme, useremala)

Wateja hawakosekani, ukijituma unaweza kuanzisha workshop yako.

16. Kupika na kusambaza chakula kwa ofisi/makampuni.

Catering ya lunch, snacks, au b

09/01/2025

30 Best Movies for Adults 🔞🔞🍿

1. Fifty Shades of Grey (2015)

2. Shame (2011

3. Preachers daughter

4. Night Bird

5.The Piano Teacher (2001)

6. The pirate (2005)

7. Foursome (2024)

8. Call me Alma (2024)

9.The Dreamers (2003)

10. Footage (2024)

11. Vatas (2024)

12. Anyone but you

13. Virgin Forest (2024)

14. Bed spacer (2024)

15. The Handmaiden (2016)

16. Original Sin (2001)

17. Secretary (2002)

18. Influencer

19. The Babysitters (2011)

20. The Girl Next Door (2004)

21. Fair Play (2023)

22. Call Me By Your Name (2017)

23. 365 Days (2020)

24. Burning Betrayal (2023)

25. Happy Ending (2023)

26. Lady Chatterley’s Lover (2022)

27. Carol (2015)

28. M**F (2018)

29. The Year I Started Ma********ng (2022)

30. Lust Stories (2018)

08/01/2025

Top 40 Movies for Matured Audience🔞🔞🔞

1. Love, Simon (2018)
2. After (2019)
3. Long Shot (2019)
4. The Last Summer (2019)
5. Someone Great (2019)
6. What Men Want (2019)
7. Isn't It Romantic (2019)
8. The Sun Is Also a Star (2019)
9. Five Feet Apart (2019)
10. Plus One (2019)
11. The Perfect Date (2019)
12. The Kissing Booth (2018)
13. To All the Boys I've Loved Before (2018)
14. Set It Up (2018)
15. Sierra Burgess Is a Loser (2018)
16. The Half of It (2020)
17. Love, Guaranteed (2020)
18. Chemical Hearts (2020)
19. The Lovebirds (2020)
20. After We Collided (2020)
21. Palm Springs (2020)
22. The Broken Hearts Gallery (2020)
23. The Kissing Booth 2 (2020)
24. The Lovebirds (2020)
25. Work It (2020)
26. After We Fell (2021)
27. To All the Boys: Always and Forever (2021)
28. Malcolm & Marie (2021)
29. The Map of Tiny Perfect Things (2021)
30. The One (2021)
31. The Kissing Booth 3 (2021)
32. Resort to Love (2021)
33. The Last Letter from Your Lover (2021)
34. Single All the Way (2021)
35. The Princess Switch 3: Romancing the Star (2021)
36. The Royal Treatment (2022)
37. Through My Window (2022)
38. Tall Girl 2 (2022)
39. Love in the Villa (2022)
40. The Perfect Pairing (2022)

08/01/2025

Top 20 Ero/tic & Se/xy Movies 💦🎬‼️
Only for Mature Audience ‼️🥵

1. Basic Instinct (1992)
Genre: Thriller/Ero/tic
IMDb Rating: 7.0 | Rating: 8.5

2. Fifty Shades of Grey (2015)
Genre: Romance/Ero/tic
IMDb Rating: 4.1 | Rating: 6.0

3. Indecent Proposal (1993)
Genre: Drama/Romance
IMDb Rating: 6.0 | Rating: 7.2

4. Fatal Attraction (1987)
Genre: Thriller/Ero/tic
IMDb Rating: 6.9 | Rating: 8.0

5. Unfaithful (2002)
Genre: Drama/Thriller
IMDb Rating: 6.7 | Rating: 8.2

6. The Last Seduction (1994)
Genre: Thriller/Drama
IMDb Rating: 7.0 | Rating: 7.8

7. Wild Things (1998)
Genre: Thriller/Ero/tic
IMDb Rating: 6.5 | Rating: 7.5

8. Poison Ivy (1992)
Genre: Thriller/Drama
IMDb Rating: 5.4 | Rating: 6.5

9. The Secretary (2002)
Genre: Romance/Ero/tic
IMDb Rating: 7.0 | Rating: 7.8

10. Crash (1996)
Genre: Drama/Ero/tic
IMDb Rating: 6.4 | Rating: 7.0

11. The Lover (1992)
Genre: Romance/Drama
IMDb Rating: 6.9 | Rating: 7.5

12. Bitter Moon (1992)
Genre: Drama/Romance
IMDb Rating: 7.1 | Rating: 7.8

13. 9 1/2 Weeks (1986)
Genre: Romance/Ero/tic
IMDb Rating: 5.9 | Rating: 7.0

14. The Piano Teacher (2001)
Genre: Drama/Ero/tic
IMDb Rating: 7.4 | Rating: 8.0

15. The Handmaiden (2016)
Genre: Thriller/Ero/tic
IMDb Rating: 8.1 | Rating: 9.0

16. Blue Is the Warmest Color (2013)
Genre: Drama/Romance
IMDb Rating: 7.7 | Rating: 8.5

17. Nymphomaniac: Vol. I (2013)
Genre: Drama/Ero/tic
IMDb Rating: 6.9 | Rating: 7.8

18. Nymphomaniac: Vol. II (2013)
Genre: Drama/Ero/tic
IMDb Rating: 6.7 | Rating: 7.5

19. Love (2015)
Genre: Drama/Ero/tic
IMDb Rating: 6.0 | Rating: 7.0

20. Portrait of a Lady on Fire (2019)
Genre: Drama/Romance
IMDb Rating: 8.1 | Rating: 9.2

🔥 Which one is your favorite? Let us know!

28/06/2024

Pichani ni ndege tofauti katika makaburi ya ndege (Aircraft Graveyard)
Naanza kwa kutaja majina ya ndege mbili, Boeing 727 na Douglas DC-10
Taja ndege zilizobaki...

28/06/2024

Mwaka 2003 kulitokea ajali kubwa sana angani ni mara baada ya chombo cha Space Shuttle Columbia cha Marekani kulipuka na kusababisha vifo vya wanaanga wote saba .

— Kalpana Chawla alikuwa mmoja wa wanaanga waliofariki katika ajali hiyo wakati ikiwa ndio safari yake ya pili anga za juu .

— Kalpana Chawla ambaye alikuwa ni engineer wa masuala ya Aerospace alikuwa ni mmoja wa wanaanga wa NASA chipukizi kabisa anbaye ndio alikuwa akiianza safari yake ya maisha k**a mwanaanga ghafla mauti yakamchukua .

— Kalpana Chawla alikuwa ni raia wa Marekani ila asili yake ni kutoka India kwa asilimia 100 na alikuwa moja ya taa kubwa kwa wanawake wote wa India waliokuwa wanapenda sana masuala ya anga za juu na hata wale waliokuwa wanasomea engineering .

— Chombo cha Space Shuttle kilisemekana kina hitilafu katika upande wake wa chini ambao hufungwa gamba gumu kwa ajili ya kukinga chombo wakati wa kupita katika matabaka mazito ya anga hewa ambayo husababisha joto kuwa kali katika chombo na hupelekea hadi kuzaliwa kwa moto , hivyo gamba gumu huweza kukilinda chombo dhidi ya joto kali linaloweza kufikia zaidi ya 3,000 centigrade .

— Wakati chombo Space Shuttle Columbia kinaruka kuna baadhi ya vipande vya gamba gumu katika chombo hicho vilianguka na kumbuka chombo kilikuwa kimeshafika angani , chombo kiliendelea na misheni yake k**a kawaida na mara baada ya siku 15 baada ya kutoka Duniani ilifika muda wa chombo kurudi Duniani tarehe 1 Feb 2003 ndipo majanga hayo makubwa yakatokea .

— Joto kali lilipita katika maeneo ambavyo vipande vya gamba gumu vimechomoka kupelekea kupenya mpaka ndani na kuchomba kila kitu na baadae kupelekea mlipuko wa chombo kizima na hapo ndio ukawa mwisho wa maisha ya wanaanga wote saba .

— Wanayansi na waongozaji wa chombo kutoka huku Duniani hawakutaka kuwajuza chochote juu ya jambo hilo kwakuwa hawakuwataka watoke katika umakini wao katika misheni yao huku waongozaji wakisali chombo kipite katika matabaka ya anga hewa salama .

Sikia hakukuwa na jinsi ni lazima chombo kingerudi Duniani kwakuwa misheni yao ilikuwa ni kukaa angani kwa siku kadhaa kabla ya kurudi Duniani , hata hivyo hakukuwa na njia ya kufanya labda kupeleka rocket nyengine ili kuwafaulisha kwakuwa maandalizi ya rocket ya Space Shuttle yalikuwa ni makubwa sana .

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Telephone

0759189884

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DSM Tezeee posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DSM Tezeee:

Share