Sinde Graphics

Sinde Graphics Graphic designer

Happy birthday🤗"You deserve all the happiness in the world today and always"
30/04/2026

Happy birthday🤗
"You deserve all the happiness in the world today and always"

OFA!!! OFA!!! OFA!!!Kwa Tshs 3000/= tu unajipatia design kali kwajili ya biashara yakoWeka oda yako sasa,ni zamu yako068...
26/04/2026

OFA!!! OFA!!! OFA!!!
Kwa Tshs 3000/= tu unajipatia design kali kwajili ya biashara yako
Weka oda yako sasa,ni zamu yako
0684 722 934





VIJANA WA TANZANIA HII NI FURSA KUBWA 🚨🚀 KWA VIJANA WA TANZANIA WASIO NA KAZI – HII NI FURSA YAKO YA KWELIK**a uko nyumb...
22/04/2026

VIJANA WA TANZANIA HII NI FURSA KUBWA 🚨
🚀 KWA VIJANA WA TANZANIA WASIO NA KAZI – HII NI FURSA YAKO YA KWELI

K**a uko nyumbani, huna kazi au unatafuta njia ya kuanza kupata kipato mtandaoni, basi leo nakwambia kitu kimoja muhimu:

💻 Dunia ya sasa imebadilika — huwezi tena kusubiri kazi ya ofisini au kuajiriwa phisically pekee.

Kuna jukwaa linaitwa Upwork ambalo linawaunganisha watu k**a wewe na clients kutoka Marekani, Ulaya na sehemu mbalimbali duniani wanaohitaji watu wa kufanya kazi k**a:

• Data Entry
• Virtual Assistant
• Email Management
• Writing & Content Creation
• Graphic Design
• Research na kazi nyingine nyingi

🔥 Jambo la muhimu ni hili:
Huhitaji degree ya juu kuanza — unahitaji skills + kujituma + internet tu.

💡 Ukweli ni kwamba:
Watu wengi nje ya nchi wanapata $5 – $50+ kwa kazi moja tu ndogo ndogo za online.

👉 Swali ni: Kwa nini wewe usianze leo?

K**a unataka kujifunza:
• Jinsi ya kuanza Upwork
• Jinsi ya kutengeneza profile inayopata clients
• Jinsi ya kupata kazi yako ya kwanza

Comment “NATAKA KUANZA” "LIKE" & "FOLLOW"nitakuongoza hatua kwa hatua.

Hii ni nafasi yako ya kubadilisha maisha yako bila kusubiri ajira


Unajua unaweza kuanza kupata💸 $100–$500 kwa wiki ukiwa nyumbani bila boss? Hapa kuna njia kamili ya kuwa Freelancer mwen...
03/04/2026

Unajua unaweza kuanza kupata💸 $100–$500 kwa wiki ukiwa nyumbani bila boss? Hapa kuna njia kamili ya kuwa Freelancer mwenye mafanikio...⬇️

# 1️⃣ Freelancer ni nini?

**Freelancer** ni mtu anayefanya kazi kwa **kujitegemea**, bila kuwa mfanyakazi wa kampuni moja.
- Hii inamaanisha huwezi kuajiriwa kwa boss mmoja, bali unafanya kazi kwa **wateja tofauti**.
- Mfano: Ukiwa vizuri kwenye computer, unaweza kufanya **data entry**, **graphic design**, au **virtual assistant** kwa wateja kutoka sehemu tofauti duniani.

**Mfano wa maisha halisi:**
- Watu wengi wanafanya kazi kwa computer kutoka nyumbani au mahali popote.
- Mteja anaweza kuwa mtaalamu wa biashara nchini Marekani, na wewe uko Tanzania.
- Mteja anakulipa kwa kazi uliyokamilisha, si kwa saa unazofanya kazi tu.

# 2️⃣ Faida za kuwa freelancer

1. Uhuru wa kufanya kazi mahali popote
2. Unajipangia siku za kufanya kazi na siku za kupumzika
3. Unaweza kufanya kazi nyingi tofauti
4. Malipo kwa kazi unayoamaliza
5. Uwezekano wa kukua na kujifunza skills mpya
6. Unaweza kuwa na wateja wengi

# 3️⃣ Skills zinazohitajika k**a freelancer

# # 🔹 Technical Skills
- Data Entry (Excel, Google Sheets)
- Virtual Assistance (scheduling, email management, research)
- Design (Canva, Photoshop, video editing)
- Writing Skills (articles, copywriting, social media content)

# # 🔹 Soft Skills
- Communication Skills
- Time Management
- Problem Solving
- Professionalism

# 4️⃣ Jinsi ya kupata kazi k**a freelancer

# # 🔹 1. Freelance Platforms
- Upwork, Fiverr, Freelancer.com, PeoplePerHour

# # 🔹 2. Social Media
- LinkedIn, Facebook, Instagram → DM wateja, post content

# # 🔹 3. Networking / References
- Familia, marafiki, classmates → referrals

# # 🔹 4. Websites za Remote Jobs
- We Work Remotely, Remote OK, FlexJobs, Remote.co

# # 🔹 5. Creating Your Own Brand
- page / Instagram Profile → share testimonials, projects, tips

NB:POST IJAYO NITAELEZA SKILL MOJA WAPO UNAOHITAJIKA ILI UWE FREELANCER ANAELIPWA....NITAELEZA KUHUSU SKILL HUSIKA NA NAMNA YA KUPATA KAZI KWA KUTUMIA SKILL HIYO

Ili kuona post ijayo fanya hivi👇
1.follow page Sinde Graphics
2.like
3.comment
4.share kwa vijana wengi zaidi tunufaike sote

Jinsi Nitakavyopata Tsh 1,000,000 Yangu ya Kwanza Kupitia Usimamizi wa Mitandao ya Kijamii Ndani ya Siku 90Wewe uko mtan...
29/03/2026

Jinsi Nitakavyopata Tsh 1,000,000 Yangu ya Kwanza Kupitia Usimamizi wa Mitandao ya Kijamii Ndani ya Siku 90

Wewe uko mtandaoni muda mwingi.
Unascroll. Unaswipe. Unatazama.
Lakini simu yako haikuletei pesa.
Kuna tatizo.

Wataalamu wa kusimamia mitandao ya kijamii wanahitajika sana.
Biashara zinahitaji msaada kila siku.
Hii ndiyo skill ninayotaka utumie.

Watu wengi wanajaribu kujifunza.
Wanajichanganya wenyewe.
Wanaangalia video nyingi sana.
Wanajaribu vitu vingi sana.
Halafu wanaacha.
Sio ngumu.

Unafanya mambo mengi kupita kiasi.
Huu ndiyo mpango rahisi.
Ufuate na uwe consistent (endelevu).
Unaweza kupata Tsh 1,000,000 yako ya kwanza.
Hifadhi post hii.
Utaikumbuka baadaye.

Follow Sinde Graphics kwa tips zaidi
Soma comments





Hizi hapa kazi 4 za mtandaoni unazoweza kuanza kwa kutumia simu yako leo.Ndiyo, unaweza kabisa kuanza kufanya kazi ukitu...
28/03/2026

Hizi hapa kazi 4 za mtandaoni unazoweza kuanza kwa kutumia simu yako leo.
Ndiyo, unaweza kabisa kuanza kufanya kazi ukitumia simu tu.
Hizi hapa ni njia 5 unazoweza kuanza nazo kwa simu yako:

1. Uandishi wa maudhui (Copywriting / Content Writing)
Unaweza kuandika caption, email, makala (blog), na maudhui mbalimbali moja kwa moja kutoka kwenye simu yako.

2.(Graphic Design)
Kwa kutumia apps k**a Canva na Pixellab, unaweza kutengeneza flyer, post za mitandao ya kijamii, na design rahisi.

3. Usimamizi wa Mitandao ya Kijamii (Social Media Management)
Unaweza kusimamia page, kujibu ujumbe, kupost maudhui, na kuwasiliana na wafuasi.

4. Huduma kwa Wateja (Customer Support)
Unaweza kujibu chat, kushughulikia ujumbe, na kuwasaidia wateja kwa kutumia simu yako.

Kumbuka:
Simu yako ni mwanzo tu, si mwisho wa safari.
Unapoendelea kukua, utahitaji laptop.
Lakini usisubiri hadi kila kitu kiwe perfect ndipo uanze.
Anza na ulicho nacho.

Ukiona post hii imekusaidia, share ili wengine wajifunze namna ya kuanza kwa kutumia simu zao tu. 💡

Muda si mrefu nitaanza kupost namna ya kutumia simu yako kujipatia kipato bila gharama yoyote,unachohitaji ni ujuzi,simu na mtandao...njia pekee yakuona post zangu na kuendelea kujifunza ni kufollow hii page.
Comment ni ujuzi gani unataka tuanze nao








Before and afterFrom simple product to eye catching design“Your product can look THIS good! Hit the DM and let’s make it...
26/03/2026

Before and after
From simple product to eye catching design
“Your product can look THIS good! Hit the DM and let’s make it happen! 🔥”





🚀 Design ZinazouzaJe unataka wateja wako watambue brand yako kwa haraka?Kwa bei kitonga kabisa Tunakutengenezea:✅ Logo D...
24/03/2026

🚀 Design Zinazouza
Je unataka wateja wako watambue brand yako kwa haraka?

Kwa bei kitonga kabisa Tunakutengenezea:
✅ Logo Design
✅ Flyers & Posters
✅ Social Media Management
📩 Piga simu au DM sasa – pata design ya kipekee ambayo inaongeza mauzo ya biashara yako










Address

Wazo Hill
Dar Es Salaam
14101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sinde Graphics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share