Uhuru Market

Uhuru Market Uhuru Market is a proudly Tanzanian e-commerce platform connecting local artisans, vendors, and entrepreneurs with customers nationwide. CLICK, SHOP,SMILE

Our mission is to make online buying and selling easy, fair, and accessible for everyone.

Furahia muziki mtamu mahali popote na Portable Bluetooth Wireless Speaker kutoka UHURU! 🎢✨Iwe uko ufukweni au nyumbani n...
25/09/2026

Furahia muziki mtamu mahali popote na Portable Bluetooth Wireless Speaker kutoka UHURU! 🎢✨

Iwe uko ufukweni au nyumbani na marafiki, spika hii itakupa mdundo wa nguvu popote ulipo!

πŸ’° Bei: TSh 99,250 tu!
πŸ“² Pakua app yetu kwenye App Store au Google Play, au tembelea www.uhuru.market kuagiza yako sasa! πŸ›’πŸ”₯

JISHINDIE IPHONE 17 MPYA KABISA KUTOKA UHURU MARKET!Unatamani kuondoka na iPhone 17 mpya kabisa msimu huu? Kushiriki na ...
24/09/2026

JISHINDIE IPHONE 17 MPYA KABISA KUTOKA UHURU MARKET!
Unatamani kuondoka na iPhone 17 mpya kabisa msimu huu? Kushiriki na kushinda ni rahisi sana!
iPhone 17 | 256GB | Black
πŸ‘‰ JINSI YA KUSHIRIKI:
- NUNUA: Fanya manunuzi kupitia jukwaa la Uhuru Market kuanzia tarehe 24 Septemba hadi 24 Oktoba 2026.
- Kila TZS 10,000 unayotumia inakupa Nafasi Moja (1) ya kuingia kwenye droo.
Ukizidi kununua, ndivyo unavyojikusanyia nafasi nyingi zaidi na kuongeza uwezekano wako wa kushinda!
- Vigezo na Masharti Kuzingatiwa (Angalia Kwenye Bio)

Usipoteze muda mwingi jikoni kusaga na kukata viungo!  Mashine hii ya kukatakata ya BLACK+DECKER Speed Vertical Food Cho...
22/09/2026

Usipoteze muda mwingi jikoni kusaga na kukata viungo! Mashine hii ya kukatakata ya BLACK+DECKER Speed Vertical Food Chopper ina visu imara vya stainless steel vitakavyokurahisishia kazi kwa haraka zaidi.πŸ’° Bei: 71,500 TSH
πŸ“² Agiza sasa kupitia: www.uhuru.market au pakua app yetu ya Uhuru

Pata maji ya moto, ya kawaida, au ya baridi muda wowote ukitumia EvoQ Water Dispenser. Inakuja na kabati la ndani la kuh...
21/09/2026

Pata maji ya moto, ya kawaida, au ya baridi muda wowote ukitumia EvoQ Water Dispenser. Inakuja na kabati la ndani la kuhifadhia vitu pamoja na muundo wa kifahari.

Sifa kuu:
β€’ Mabomba 3 Tofauti (Moto, Kawaida, Baridi)
β€’ Kabati la ndani la kuhifadhia
β€’ Udhamini (Warranty): Miezi 12 (Bidhaa) | Miezi 24 (Kompresa)

πŸ’° Bei: 308,000 TSH

πŸ“² Nunua kwa urahisi! Tembelea www.uhuru.market au pakua App ya UHURU leo kuagiza!

Ingia kwenye ulimwengu wa gemu ukiwa na sauti ya tofauti kabisa! Green Lion GP32X Gaming Headphones zinakupa sauti yenye...
18/09/2026

Ingia kwenye ulimwengu wa gemu ukiwa na sauti ya tofauti kabisa!

Green Lion GP32X Gaming Headphones zinakupa sauti yenye nguvu (deep bass), taa za kisasa za RGB, na maikrofoni ya wazi kabisa ili ufurahie mechi zako na washirika wako.

Sifa za Kipekee:
🎧 Sauti yenye nguvu
πŸŽ™οΈ Microphone inayojikunja 360Β°
Taa za kuvutia za RGB
Muundo mwepesi kwa matumizi ya muda mrefu

πŸ’° Bei: 137,500 TSH
Nunua sasa! Tembelea www.uhuru.market au pakua App ya UHURU sasa!

Lainisha nguo zako na uzipatie harufu nzuri ya kuvutia siku nzima! Downy Liquid Fabric Softener - Sunrise Fresh inafanya...
17/09/2026

Lainisha nguo zako na uzipatie harufu nzuri ya kuvutia siku nzima! Downy Liquid Fabric Softener - Sunrise Fresh inafanya nguo zako kuwa laini na zenye marashi ya burudani yanayodumu hadi masaa 24. βœ¨πŸ‘•

πŸ’° Bei: 27,000 TSH

🌐 Nunua sasa kupitia: www.uhuru.market

πŸ“± Inapatikana pia kwenye App ya UHURU!

Sema kwaheri kwa madoa sugu na uchafu wote bafuni! ✨ Fanya bafu na vigae vyako kung'aa na kuwa safi kabisa ukitumia Kaly...
17/09/2026

Sema kwaheri kwa madoa sugu na uchafu wote bafuni! ✨ Fanya bafu na vigae vyako kung'aa na kuwa safi kabisa ukitumia Kalyon Bathroom Cleaner. Inaacha harufu nzuri na ya burudani kwa muda mrefu! πŸ§½πŸ’¦

πŸ’° Bei: 14,000 TSH

🌐 Agiza sasa kupitia: www.uhuru.market

πŸ“± Pakua app ya UHURU sasa kupitia Play Store au App Store!

15/09/2026

Usikwame na simu kuisha chaji ukiwa safarini! Car Charger ya kipekee inayochaji haraka na kwa usalama wa hali ya juu ndani ya gari lako.

Sifa Kuu:

Chaji ya Haraka - Output ya 2.4A kuchaji kifaa chako kwa haraka.
Ports Mbili - Chaji simu mbili kwa wakati mmoja.
Ulinzi Imara - Inalinda simu dhidi ya umeme mwingi na short circuit.
Muundo Mdogo - Haichukui nafasi kubwa garini.
Bei - TSh 22,000

Agiza Sasa - Tembelea www.uhuru.market au tumia App ya Uhuru!

Uhuru Market is a proudly Tanzanian e-commerce platform connecting local artisans, vendors, and entrepreneurs with customers nationwide. Our mission is to make online buying and selling easy, fair, and accessible for everyone. CLICK, SHOP,SMILE

K**a unapenda kusafiri, kuangalia mpira, au kupiga picha za wanyama na ndege kwa simu yako, Hii 16Γ—52 HD Monocular Teles...
11/09/2026

K**a unapenda kusafiri, kuangalia mpira, au kupiga picha za wanyama na ndege kwa simu yako, Hii 16Γ—52 HD Monocular Telescope ndio mpango mzima!
Sifa zake:
πŸ”Ή Inakuza mara 16x: Inaonyesha picha za mbali kwa uwazi mkubwa.
πŸ”Ή Ina kishikio cha simu: Unafunga tu simu yako na kupiga picha safi kabisa!
πŸ”Ή Ina tripod (stendi): Inakusaidia kupiga picha bila kutetereka.
πŸ”Ή Ni ndogo na nyepesi kubeba mahali popote .

πŸ›’ Agiza yako sasa kupitia Uhuru Market! Bonyeza link kwenye bio yetu au tembelea: www.uhuru.market

09/09/2026

wa ajili ya kuunganisha intaneti kwa umbali mrefu (point-to-point) na kutoa huduma thabiti ya internet nje ya jengo.

Maelezo ya Bidhaa:

Aina: Ubiquiti airMAX NanoStation M2 (NSM2)

Bei: TSH 341,000

Jinsi ya Kupata: Pakua app yetu kupitia Google Play au App Store, au tembelea www.uhuru.market

Uhuru Market is a proudly Tanzanian e-commerce platform connecting local artisans, vendors, and entrepreneurs with customers nationwide. Our mission is to make online buying and selling easy, fair, and accessible for everyone. CLICK, SHOP,SMILE

Address

PSSSF Towers
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uhuru Market posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share