21/09/2026
WATEJA WA MIKOANI 🚚📦
Njia 3 za kupata huduma yetu:
1️⃣ Lipa direct ofisini, tunakutumia mzigo.
2️⃣ Lipa nauli kwanza, mzigo ukifika unalipia.
3️⃣ Tuma ndugu/rafiki akague mzigo, kisha unalipia ofisini.
🎯 Lengo ni kuhakikisha huduma yetu inakufikia kwa usalama na amani.
🔥 Umbali sio kikwazo — MJ PIXEL tunakufikia!