25/09/2025
Ni muhimu kuwa na kadi za kibiashara(Business Card)
kila mahali ulipo, itakusaidia, kukuza thamani yako na unachofanya, kutangaza biashara au huduma yako, pia Itakupunguzia Kutumia maneno mengi kujieleza.😊
MSENGA GRAPHICS Tumekuja na offa ya kukutengenezea Business card ya viwango vya juu kabisa, wewe Mfanya biashara, Mwalimu, Daktari, Boda boda, mkulima, Fundi n.k
TUPIGIE SIMU
+255 750 107 879
DELIVERY IPO
KARIBUNI WOTE