Aydigital Hub

Aydigital Hub Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Aydigital Hub, Computer Company, Dar es salaam, Dar es Salaam.

1️⃣ Professional & Straightforward
πŸ“ˆ Digital Marketing & Social Media Expert
🎯 Meta Ads | Content Strategy | Brand Growth
πŸš€ Nasaidia biashara kuongeza mauzo & kufikia wateja zaidi
πŸ“ Dar es Salaam | 🌐 ay_digitalhub
Wa.me/255782512287

17/09/2026
Matokeo ya mwezi August DENI APP BOOST MAUZO PROGRAM Credit Nelson | Sponsored Ads | Social Media Marketing
17/09/2026

Matokeo ya mwezi August
DENI APP BOOST MAUZO PROGRAM

Credit Nelson | Sponsored Ads | Social Media Marketing

16/09/2026
27/08/2026

AWAMU YA PILI YA WANUFAIKA WA DENI APP BOOST MAUZO PROGRAM inaendelea na zoezi la kuwatembelea wanufaika pia linaendelea

Tunawakaribisha sana kwenye HII SAFARI YA MAFANIKIO

Karibu sana Viatu na Sendo Za kiumeβ€’ sneakersβ€’Ngoziβ€’ Originalβ€’Kariakoo . kwenye jamii ya wanufaika wa Deni App Boost Mauzo Program

Tumia Deni App endapo unapata wateja wa mikoani wanaotaka kulipa baada ya kupokea mzigo.

Deni App inapatikana Playstore na AppStore

DENI APP | TANZANIA
AKILIKUBWA COLLEGE OF DIGITAL MARKETING
Nelson | Sponsored Ads | Social Media Marketing
Ahamad Katundu β€’ social media marketing β€’ sponsored ads β€’ coach
𝘧𝘢𝘳𝘒𝘩𝘒𝘬π˜ͺ𝘷𝘰𝘨𝘒

15/08/2026

AWAMU YA PILI YA WANUFAIKA WA DENI APP BOOST MAUZO PROGRAM

Huyu hapa LEO SOKONI Isihaka Ubeidi β—‹Tiba ya Bawasiri β—‹ Ngiri β—‹ PID β—‹ UTI β—‹ Gesi

Lengo letu ni kuhakikisha Kila Mfanyabiashara anayetumia Deni App inakua rahisi kwake kupata WATEJA kutokea mitandaoni

Deni App inapatikana Playstore na AppStore

DENI APP | TANZANIA
AKILIKUBWA COLLEGE OF DIGITAL MARKETING
Nelson | Sponsored Ads | Social Media Marketing
𝘧𝘢𝘳𝘒𝘩𝘒𝘬π˜ͺ𝘷𝘰𝘨𝘒
Ahamad Katundu β€’ social media marketing β€’ sponsored ads β€’ coach

πŸ’ͺ🏼πŸ’ͺ🏼

30/07/2026

ZIMEBAKI NAFASI SABA PEKEE KATI YA NAFASI 20 ZILIZOTENGWA

DEADLINE NI TAREHE 02AUGUST2026

BONYEZA LINK KWENYE BIO YETU DENI APP | TANZANIA au AKILIKUBWA COLLEGE OF DIGITAL MARKETING

29/07/2026

Hii sio tu picha bali ni utambulisho unajiuza, usipoteze tena wateja kwa udhaifu huu.πŸ–ŠοΈ

20/07/2026

RESULTS FEEDBACK 05: Kuhusu Deni App Boost Mauzo Program

Haya hapa ni Matokeo ya Mnufaika..

Msikilize Hapa Social Media Manager kutoka AKILIKUBWA COLLEGE OF DIGITAL MARKETING ndugu Ahamad Katundu β€’ social media marketing β€’ sponsored ads β€’ coach anatueleza huyu mnufaika MWINGINE na matokeo yake yalivyo;

Bajeti aliyotumia>> Dollar 73
Idadi ya meseji alizopokea>> 573

Amazing
πŸ’ͺ🏼πŸ’ͺ🏼πŸ’ͺ🏼πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Follow: DENI APP | TANZANIA &. AKILIKUBWA COLLEGE OF DIGITAL MARKETING

Cc:
DENI APP | TANZANIA
AKILIKUBWA COLLEGE OF DIGITAL MARKETING
Nelson
Ahamad Katundu β€’ social media marketing β€’ sponsored ads β€’ coach
𝘧𝘢𝘳𝘒𝘩𝘒𝘬π˜ͺ𝘷𝘰𝘨𝘒

30/06/2026

KUHUSU DENI APP BOOST MAUZO MNUFAIKA NO:9

Vijana wetu katika program ya Deni App Boost Mauzo wakiendelea kukutana na Wafanyabiashara walio kwenye program ya usimamizi wa matangazo ya kusponsor inayodhaminiwa na DENI APP

Program iliyoletwa kwenu kwa ushirikiano wa DENI APP na AKILIKUBWA COLLEGE DENI APP | TANZANIA & AKILIKUBWA COLLEGE OF DIGITAL MARKETING

Inayolenga kutoa Usimamizi wa matangazo ya KUSPONSOR kwa wafanyabiashara wanaotumia DENI APP

Ambapo katika awamu hii ya kwanza DENI APP imetoa udhamini wanaotumia Tsh 1,800,000 kwa wafanyabiashara 15 wanaotumia DENI APP

Endelea kukaa nasi kufahamu safari ya mafanikio ya hawa wafanyabiashara wanaotumia DENI APP

Kwa maelezo zaidi kuhusu DENI APP ambayo inawasaidia wafanyabiashara wanaopata wateja wa mikoani wanaotaka kulipa baada ya kupokea mzigo tafadhali wasiliana nasi

0743748655

Cc:
AKILIKUBWA COLLEGE OF DIGITAL MARKETING
DENI APP | TANZANIA
Ahamad Katundu β€’ social media marketing β€’ sponsored ads β€’ coach
Nelson
𝘧𝘢𝘳𝘒𝘩𝘒𝘬π˜ͺ𝘷𝘰𝘨𝘒

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aydigital Hub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share