KP GROUP

KP GROUP Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KP GROUP, Printing Service, .

13/08/2026

🏷️ Tunaprint STICKERS & LABELS zenye gundi imara
🎨 Ubunifu wa kipekee unaoipa biashara yako mvuto zaidi
πŸ“ Tupo: Azizi Ally
πŸ“ž Wasiliana nasi: 0765 973 460
πŸš€ Pamba biashara yako kwa bango lenye mvuto na ubora unaoaminika! ✨

06/08/2026

✨ Stickers na Labels za Ubora wa Hali ya Juu! ✨

Tunakutengenezea stickers na labels zinazofaa kwa bidhaa za aina mbalimbali. Zimetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu, zina gundi imara inayoshikamana vizuri na zinadumu kwa muda mrefu.

βœ… Zinafaa kwa bidhaa mbalimbali
βœ… Muonekano wa kuvutia na wa kitaalamu
βœ… Gundi imara isiyochomoka kirahisi
βœ… Bei nafuu na huduma bora

πŸ“ Tunapatikana Azizi Ally
πŸ“ž 0765 973 460

Wasiliana nasi leo tukusaidie kuipa bidhaa yako mwonekano wa kipekee na wenye kuvutia.

27/07/2026

KP GROUP TZ tunakutengenezea Labels za Print & Cut zenye ubora wa hali ya juu, pamoja na Design za kuvutia zinazoongeza thamani ya bidhaa yako.
βœ… Waterproof (zinapohitajika) βœ… Rangi kali na zenye ubora βœ… Ukubwa wowote βœ… Design ya kisasa βœ… Bei nafuu
πŸ“ Temeke, Aziz Ally – Dar es Salaam
πŸ“ž 0765 973 460
KP GROUP TZ – Your Vision, Our Passion.

25/07/2026

✨ Ongeza hadhi na muonekano wa kitaalamu wa kampuni yako kwa Name Tags za ubora kutoka KP GROUP TZ.
Tunatengeneza Name Tags zenye Epoxy Finish za kisasa, zikiwa na chaguo la Sumaku (Magnetic) au Pini, kulingana na mahitaji yako.
βœ… Muundo wa kisasa na wa kuvutia
βœ… Zinadumu kwa muda mrefu
βœ… Zinafaa kwa kampuni, shule, hospitali, hoteli, maduka na taasisi mbalimbali
βœ… Tunachapisha jina, cheo na logo ya kampuni yako
πŸ“ Temeke, Aziz Ally – Dar es Salaam
πŸ“ž 0765973460
🚚 Tunafanya huduma ya usafirishaji nchi nzima.
KP GROUP TZ – Your Vision, Our Passion.

03/07/2026

🚨 BIASHARA YAKO INAONEKANA KWA UMBALI GANI? 🚨
Tunatengeneza mabango makubwa ya matangazo kwa ubora wa hali ya juu kabisa!
πŸ’° Bei zinaanzia Tsh 300,000/= tu
βœ… Rangi kali na zinazovutia βœ… Design za kisasa βœ… Ubora unaodumu βœ… Ufungaji wa kitaalamu
πŸ“ž 0765 973 460
Msimu huu wa SABASABA, ifanye brand yako ionekane kuliko zote!

25/06/2026

SABASABA HII, IPE BIASHARA YAKO MWONEKANO UNAOSTAHILI! πŸš€πŸ₯³πŸ₯³

fanya brand yako ionekane kila mahali kwa Promotion Materials zenye ubora wa hali ya juu. Tunakutengenezea Flyers, Business Cards, Stickers, Banners, Roll-Up Banners, T-Shirts, Caps, Mugs, Calendars, Vehicle Branding, Embroidery na DTF Printing.

βœ”οΈ Jenga utambulisho wa biashara yako
βœ”οΈ Ongeza uaminifu kwa wateja
βœ”οΈFanya brand yako ikumbukwe kwa urahisi

πŸ“ KP Group – Temeke, Azizi Ali
🚚 Tunasafirisha mikoa yote Tanzania

πŸ“ž Wasiliana nasi leo na ujitayarishe kung’ara msimu huu wa Sabasaba!

DTFPrinting BusinessBranding Temeke TanzaniaBusiness Marketing PrintingServices SabasabaDeals

25/06/2026

Roller Banner ni chaguo bora kwa biashara, maonesho, ofisi na matukio mbalimbali kwa sababu ni rahisi kubeba, kufunga na kutumia sehemu yoyote. Tunakutengenezea kwa material bora, print yenye ubora wa juu na muonekano wa kitaalamu unaoifanya brand yako ionekane zaidi. πŸ”₯

πŸ“ KP Group β€” Kwa Aziz Ally
🚚 Tunafanya delivery mikoani kote Tanzania

Wasiliana nasi leo upate roller banner yenye ubora unaoendana na biashara yako.

24/06/2026

Na hii ni zaidi ya utambulisho wa brand yako πŸ”₯
Tunakuandalia kofia zenye muonekano wa kipekee, uchapaji safi na material yenye ubora unaodumu.

Kwa biashara, events, timu au matumizi binafsi β€” tunakupa style inayoongea kwa niaba yako πŸ’―

πŸ“ Location:Temeke ,kwa aziz ally
🚚 tunafanya delivery popote pale

21/06/2026

πŸ”₯ Biashara yenye muonekano bora huanza na bango bora! πŸ”₯

Tengeneza mwonekano wa biashara yako uwe wa kuvutia kwa mabango yenye ubora, muundo wa kisasa na material yanayodumu.
Tunakutengenezea mabango yanayoonyesha jina la biashara yako kwa ufasaha na kuwafanya wateja wakutambue kwa urahisi.

Kuanzia signage, mabango ya kawaida mpaka mabango ya 3D β€” tunakupa huduma yenye ubunifu na ubora unaoendana na mahitaji yako.

πŸ“KP Group β€” Kwa Aziz Ally, Dar es Salaam
🚚 Tunatuma mikoa yote Tanzania

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KP GROUP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share