17/08/2026
Tuna PRODUCT zifutazo
1. Airtel 4g pocket inauzwa sh 60,000
Unaunga watu 17
Unalipia kuanzia sh/ elfu 10,000 n
a kuendelea.
2. Vodacom 5g pocket Unlimited bando bila kikomo.inauzwa sh 120,000 unalipia sh/60,000 Kila mwezi.
Unaunga vifaa 17.
3. Airtel 5G smart connect
Inauzwa sh /100,000 unalipia sh/ 70,000 Kila mwezi
Unaunga vifaa 64
Karibu sana bos.
4. Yas 4g pocket inauzwa sh/120,000
Inaunga watu 17
Unalipia sh/ 70,000 Kila mwezi.