YBEEES Company LTD

YBEEES Company LTD YBEEES Co LTD offers following services:-
1.IT services(www.ybeees.co.tz)
2.Electrical Installationn
3.Consultancy Services(IT, Aocounting, Tax)
4.Training

YBEEES Company LTD is determined to ensure that your business runs smoothly by providing excellent ICT services such as: Networking Solutions, Web Designing & Development, Computer Repair & Maintenance, Data Backup & Recovery, Computer Accessories Sales, IT Consultancy, Training, Accounting & Taxation.

26/10/2017

MAMBO KUMI YANAYOWEZA KUONGEZA USALAMA WA TAARIFA ZAKO MTANDAONI

Tunapotumia mtandao zipo taarifa nyingi tunazozihifadhhi, na ni muhimu sana kuzingatia usalama wa hizo taarifa.. hasa zile taarifa zetu za siri.
Zifuatazo ni njia kumi zitakazokusaidia kuongeza usalama wa taarifa zako ulizozihifadhi mtandaoni.

1. Usitumie ‘Nenosiri’ (password) zinazofanana kwenye mitandao tofauti au akaunti tofauti (mf. Gmail na facebook account).
------------------------------------------------------------------------------------
Watu wengi huwa wanajikuta wana nenosiri moja ambalo huwa wanapenda kulitumia kwenye kila akaunti k**a vile Gmail, facebook na twiter. Hii sio nzuri hata kidogo, kwa sababu k**a mtu akifanikiwa kulijua basi anaweza akaingia kwenye akaunti zako zote za mtandaoni. Hakikisha unatumia Nenosiri tofauti kwa kila akaunti unayofungua mtandaoni.

2. Usimwambie au usimpe mtu neno lako la siri (au password yako) na badilisha mara kwa mara.
--------------------------------------------------------------------------------------
Watu wengi huwa wanajikuta kwa namna moja au nyingine wanaweka wazi taarifa ambazo zinapaswa ziwe siri, mfano nenosiri (au password zao), hii inawaweka kwenye hatari ya kuwapa watu wengine uwezekano wa kuingia kwenye akaunti zao muda wowote wanaotaka na kuona taarifa zao na mbaya zaidi hata kuzibadilisha au kuzifuta kabisa. Hakikisha neno lako la siri (au password yako) linabaki kuwa siri yako. Pia hakikisha unabadilisha nenosiri mara kwa mara.

3. Epuka kutumia huduma za mtandaoni ambazo hauna uhakika k**a ziko salama.
--------------------------------------------------------------------------------------
Mara nyingi tunapotumia mtandao huwa tunakutana na ofa mbalimbali ambazo zinawekewa maneno k**a “bofya hapa” au “Click here”. Hakiisha unakuwa makini sana na kile unachobofya, maana kwa kubofya unaweza ukajikuta unajiinghiza kwenye hatari ya kuzikabidhi taarifa zako kwenye mikono ya watu wabaya. Uwe makini.

4. Epuka kutoa taarifa zako za muhimu mfano anuani ya barua pepe (email address), nambari ya akaunti ya ya benki kwenye tovuti au kwa mtu ikiwa hauna uhakika k**a ni salama kufanya hivyo.
--------------------------------------------------------------------------------------
Inawezekana umeshawahhi kujaribu kupakua kitu mtandaoni na wakakudai barua pepe yako, au umeshawahi kutumiwa ujumbe wa facebook au mitandao mingine na mtu usiyemjua na akahitaji umtumie barua pepe yako ili muendelee kuchati au ili akutumie picha zake, au muda mwingine kuombwa uingize taarifa zako za kibenki. Ni muhimu kukumbuka kuwa taarifa zako ni za muhimu, na sio kila mtu anaweza akawa nazo, hivyo epuka kuzitoa ikiwa hauna uhakika k**a ni salama kuzitoa.

5. Jitahidi kuwa na muda wa kujifunza kuzitumia huduma mbalimbali za mtandaoni, usipende kufanyiwa kila kitu.
--------------------------------------------------------------------------------------
Mara nyingi kuna watu ambao huwa tunapenda wawepo watu wengine wa kutusaidia kufanya baadhi ya vitu mtandaoni mfano kufungua akaunti mbalimbali za mtandaoni, au kupata huduma zingine za mtandaoni. Na mara nyingi hivyo vitu wanavyotusaidia kufanya hata sisi tungeweza kuvifanya endapo tungepata muda mfupi tu wa kujifunza. Na mara nyingi shida inatokea pale ambapo hii kazi ya kutusaidia kufanya vitu mtandaoni inapoangukia mikononi mwa mtu ambae si mwaminifu.
K**a bado una uwezo jitahidi kutoa muda wako kujifunza kufanya mwenyewe na sio mtu mwingine akufanyie, hii itaongeza usalama wa taarifa zako.

ITAENDELEA………………….
…… …….

  Installation-Home&Industry  Fences  Motor GatesContact Tel:022 28614460 Hotline:0754 807 703We warmly Welcome You..
11/10/2017

Installation-Home&Industry
Fences
Motor Gates
Contact Tel:022 28614460 Hotline:0754 807 703
We warmly Welcome You..

We warmly welcome you..
09/10/2017

We warmly welcome you..

Join our special web development training (3 week training).. register for  August 2017.
31/07/2017

Join our special web development training (3 week training).. register for August 2017.

You can always count on us in network solution using advanced technology such CISCO Technology as well as support on ins...
31/07/2017

You can always count on us in network solution using advanced technology such CISCO Technology as well as support on installation and configuration of CiSCO devices( Routers and Switches).

Address

Keko, Darajani(City Furniture Building Room No 324))
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255(22) 2 861 460

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YBEEES Company LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share