Oddo phone store

Oddo phone store 📱 Simu Original | Simu used
iPhone | Samsung | Pixel | Nokia | Redmi | Tecno | Aqueous n.k
📍 Masasi x Msimbazi, DSM
📞 0764 661 680 – DM/WhatsApp

Nokia 3210 4GHii ni model ya 2024Inakaa na charge Kwa muda mrefu hata wiki mzimaInasupport radio bila hata kuunganisha w...
26/04/2025

Nokia 3210 4G
Hii ni model ya 2024
Inakaa na charge Kwa muda mrefu hata wiki mzima
Inasupport radio bila hata kuunganisha wire hivyo unaweza kutumia popote
Inakaa line mbili
Unatumia charge Ya type C
Unaweza unatumia earphone hivyo kukurahisisha kwenye maongezi
Bei yake ni 50,000

Nokia 105 4GHii ni model ya 2019Inakaa na charge Kwa muda mrefu hata wiki mzimaInasupport radio bila hata kuunganisha wi...
26/04/2025

Nokia 105 4G
Hii ni model ya 2019
Inakaa na charge Kwa muda mrefu hata wiki mzima
Inasupport radio bila hata kuunganisha wire hivyo unaweza kutumia popote
Inakaa line mbili
Unaweza unatumia earphone hivyo kukurahisisha kwenye maongezi
Bei yake ni 30,000

Simu Mpya ya Samsung Galaxy A16 Imefika!(Kwa bei nafuu na ubora wa hali ya juu)Muonekano: Nyuma tambarare ya plastiki ye...
25/04/2025

Simu Mpya ya Samsung Galaxy A16 Imefika!
(Kwa bei nafuu na ubora wa hali ya juu)

Muonekano: Nyuma tambarare ya plastiki yenye kumaliziwa kwa matte, pamoja na ulinzi wa IP54 dhidi ya maji ya kunyunyizwa
Display (Kioo): Inchi 6.7 FHD+ Super AMOLED, refresh rate ya 90Hz – mwonekano laini na wa kuvutia.

Stoarge: GB 128 za ndani, unaweza kuongeza kupitia microSD.

Betri: 5,000mAh yenye teknolojia ya kuchaji haraka ya 25W (Super Fast Charging).

Usalama: Imelindwa na Samsung Knox Vault kwa usalama wa taarifa zako binafsi.

Motorola Edge 50 fusion "Nguvu, uzuri, na kasi – vyote kwenye kiganja chako!Motorola Edge 50 Fusion inakuletea kioo cha ...
25/04/2025

Motorola Edge 50 fusion
"Nguvu, uzuri, na kasi – vyote kwenye kiganja chako!

Motorola Edge 50 Fusion
inakuletea kioo cha OLED cha inchi 6.67 na refresh rate ya 144Hz kwa uhalisia wa picha wa hali ya juu.

Ikiwa na kamera kuu ya 50MP na OIS,
Snapdragon 7s Gen 2,
fast charging ya 68W,
na uimara wa IP68 – hii si simu ni bomba sana

Pata matoleo ya RAM ya 8GB au 12GB na
storage ya 256GB – kwa performance isiyokwama!

Design ya kifahari yenye edges zilizopinda na
chaguo la leather finish – ni simu ya hadhi yako.

Usikose! Hii ndio simu inayozungumziwa kila kona.
Chukua yako sasa – ujionee tofauti!"

Address

Masasi Na Msimbazi
Dar Es Salaam
11101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Oddo phone store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share