Titan Computers

Titan Computers tunauza na kusambaza laptops zenye viwango vya juu both refurbished na mpya
kwa bei nafuu.

03/06/2026

THIS IS THE REALEST GAMING BEAST PC EVER BUILT.

02/06/2026

Hili ndo jibu sahihi kwa MacBook neo, ambayo ilisababisha Laptop nyingine zote za Budget esp za Windows zionekane k**a midoli.
Kutana na intel Wildcat Lake CPU(core ultra 3) ambazo ni wazawa wa moja kwa moja wa intel Ultra Powerful CPUs.

Zina uwezo mkubwa kwenye CPU na GPUs, kuanzia Cinebench, geekbench, na program operations, zinaperform sawa au zaidi ya A18 chip iliyopo kwenye macBook neo, na HAPANA, hii intel siyo ARM SoC.

Dell pamoja na kampuni nyingine k**a Acer wamekuja na laptop zao zinazotumia hii Processor.

Kwa dell wameamua kuiweka kwenye XPS 13 na kuibuild kwenye quality inayofanana na MacBook Neo plus advantages za RAM up to 32GB LPDDR5, SSD up to 1TB, Backlight keyboards, FaceID, Fingerprint, 2.5K OLED touch screen and more.

Battery yake ni kubwa kuliko ya macBook Neo, lakini zina uwezekano wa kuwa sawa kwenye kukaa na chaji kwa sababu MacBook Neo inatumia ARM SoC yenye ufanisi mkubwa.

Mpaka sasa, XPS 13 inaonekana kushinda by many points.

As always,
I hope you learned something,
Yours in tech,
-VIRAL.

01/06/2026

Finally a worthy opponent wa ARM Soc ya M-series ya Apple.(SnapDragon na wenzake walipigwa)

Lakini nvidia wamekuja kivingine pia. Hizi processor za N1X zinakuja zikiwa na GPU shindili ambayo ina cores sawa na RTX 5070 GPU ya laptop/desktop, Cuda cores za kutosha.

Laptop hizi zinalenga watu wanaotaka kurun LLM(Large Language Models) locally, na wengineo. Hadi gamers(Jensen amesema wanafanya kazi karibu na devs kuwezesha hili suala)

Kwenye upande wa price, bado hawajatangaza, ila tegemea the worst.

01/06/2026

Gaming mouse and gaming mousepads available.
inbox:0768935489

Nice things, laptop zenye RTX Spark system.Aimed for AI workloads na ni ARM system.Zinasemekana ni jibu la nvidia kwa Ap...
01/06/2026

Nice things, laptop zenye RTX Spark system.
Aimed for AI workloads na ni ARM system.

Zinasemekana ni jibu la nvidia kwa Apple silicon, SnapDragon na manufacturers wengine wanaotumia ARM system.

Zitakuwa na uwezo wa kufanya gaming lakini main target ni watu wanaotumia AI.

Kampuni zilizopatner na nvidia kuleta hizi laptop sokoni ni pamoja Asus,Dell, Microsoft, na makampuni mengine.

31/05/2026

5 FPS?, si bora uangalie slideshows za powerpoint tu sasa😂😂

31/05/2026
31/05/2026

Wired and wireless gamepads zinapatikana
from 25,000/= wired
from 37,000/= wireless

inbox 0768935489.

31/05/2026

Alikuwa anatumia HDD k**a main storage na motherboard pamoja na feni zilikuwa zimejaa vumbi, na ilikuwa na virus ndani yake, hivyo all in one desktop yake ikawa ina underperform pamoja na kwamba ilikuwa na specs nzuri i5 6th gen na RAM 8GB DDR4.

Tulichofanya.
1.Tulibadili Storage yake from HDD to a Fast SSD, tukamuwekea na windows 11 Pro mpya.

2. Tulisafisha desktop yake na kuipa uwezo wa kujipooza vizuri tena.

29/05/2026

Control panel yetu pendwa ya nvidia iliyodumu kwa miaka 20, inaenda kutolewa kwenye refresh menu, na kuhamishiwa kwenye nvidia app.
Sababu za kuihamishia kwenye nvidia app zina mashiko, lakini tutegemee matangazo ya kutosha na sometimes hata online requirement for just a simple change.

SABABU ZAO KUIHAMISHA NVIDIA APP.
✅️Kutaka kuweka nvidia progs zote pamoja ndani ya app moja, hapa nazungumzia nvidia Control panel,nvidia experience na nvidia app kuwa kwenye app moja.
✅️Uwepo wa features k**a DLSS na DLAA, pia ujio wa path tracing, ambao wao wanasema zote zinahitaji intergral access kwa system reaources ili kuongeza ufanisi wa settings.
✅️Competition from AMD😂

VERDICT.
Vyovyote itakavyokuwa, tutegemee matangazo, hawa majamaa hawawezi kutuacha hivi hivi, matter of fact, kwenye nvidia app niliyo nayo ya zamani naletewa matangazo ya game deals kila siku.

As always,
I hope you learned something,
Yours in tech,
-VIRAL.

Address

Dar Es Salaam
0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Titan Computers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share