12/05/2019
JE! UNAHITAJI KUWA NA BARUA PEPE ZIENDAZO NA JINA MAALUMU (PROFESSIONAL EMAILS) ULITAKALO BILA AU KABLA YA KUWA NA WEBSITE (TOVUTI)?
Aldeg TECHNOLOGIES CO. LTD inakuwezesha kuwa na barua pepe maalumu ziendazo kwa jina ulitakalo zisizo na kikomo, kwa malipo ya Tsh 60,000/- tu kwa mwaka.
Huduma hii ya barua pepe zenye jina maalumu inatolewa ikiambatana na vifuatavyo:-
1. Usajiri wa jina maalumu (Domain Name) ulitakalo, mfano www.jinalako.com au www.jinalakampuni.co.tz
2. Barua pepe zisizo na idadi ziendazo na jina maalumu ulilochagua, mfano [email protected] au [email protected]
3. Spidi na eneo la kutosha kukuwezesha kutuma na kupokea emails au barua pepe hizi maalumu
4. Kuweza kutuma emails au barua pepe zisizo na kikomo kwa saa, dakika au sekunde
5. Matengenezo ya email ya bure
6. Msaada wa bure wa kuunganisha emails zako na Outlook au simu ya mkononi
7. Msaada wa kiufundi muda wowote na siku zote za wiki
Mfano wa Professional Email:-
Kwa mfano jina la biashara au kampuni ni AZ Services, badala ya kuwa na barua pepe ya [email protected] au [email protected] huduma yetu ya Professional Email itaifanya kampuni hii kuwa na barua pepe k**a
[email protected], [email protected], au [email protected] n.k
Umuhimu wa kuwa na Professional Email.
1. Amani na Uaminifu kwa Mteja
Mteja anapopokea barua pepe iliyotumwa na barua pepe maalumu (Professional email) huwa na amani kwa kuamini kuwa email ni salama na imetoka katika chanzo maalumu. Tofauti na barua pepe zisizo maalumu ambazo ni rahisi kwa mtu mwingine yoyote asiyehusika kufungua email nyingine na kusumbua wateja wako kitu ambacho kibiashara si kizuri.
2. Si rahisi kudharaulika
Siku hizi watu wamekuwa wakipokea barua pepe nyingi sana na nyingi kati ya hizo ni zile ambazo zisizo na msingi (spam mails), hii inapelekea watu kufuta baadhi ya barua pepe bila hata kuzisoma. Unapotumia huduma hii ya Professional Email, unaziweka barua pepe zako katika hali ya utofauti na barua pepe zingine kitu kitakachopelekea mpokeaji kuzitambua kwa haraka na kuzisoma mapema.
3. Hulinda Brand yako
Mawazo ya biashara siku hizi yanafanana mno kitu kinachopeleka pia hata majina ya umiliki pia kufanana. Huduma ya Professional Email itakusaidia kulinda Brand yako dunia nzima kwa kuwa huduma hii inakuja na usajiri wa bure wa Domain name yako, Mfano www.jinalako.com au www.jinalakampuni.co.tz
4. Hupandisha hadhi ya Biashara yako
Kutumia barua pepe maalumu hakutokufanya tu uonekane ni mtu mwenye kujitambua pia kutaongeza hadhi na heshima ya Biashara yako. Utumiaji wa barua pepe maalumu kunakufanya uonekane ni mtu makini katika kufanya shughuli zako. Ni rahisi mteja kupima ubora wa shughuli zako kupitia barua pepe unazotumia.
5. Usalama na Usiri
Inafahamika kuwa barua pepe zisizo maalumu zinaandamwa sana na mashambulizi ya kimtandao kwa sababu ya mapungufu mbalimali ya kiusalama, kuzitumia kibiashara zitakufanya usiwe na usiri na hutoweza kuzimiliki kwa asilimia 100 tofauti na ilivyo kwa barua pepe
maalumu – ambazo zina usiri na unazimiliki mwenyewe kwa asilimia 100.
Kwa maelezo zaidi na kujiunga na huduma hii, tafadhali bofya hapa - https://aldegtechnologies.com/Home/professional-email/
Au, wasiliana nasi kupitia:-
www.aldegtechnologies.com
[email protected]
+255 672 444 445