Nukta Africa

Nukta Africa Nukta Africa is a digital media and technology company which specialises in research, training and d

The future of journalism is increasingly shaped by how effectively newsrooms use data and technology to find evidence, t...
02/10/2026

The future of journalism is increasingly shaped by how effectively newsrooms use data and technology to find evidence, tell stories, and serve audiences.

On 24 September 2026 in Dodoma, Nukta Africa Chief Learning Officer Daniel Samson facilitated two practical training sessions for journalists, editors, and UTPC regional coordinators during the National Meeting to Review the Implementation of the National Integrated Early Childhood Development Program (PJT-MMMAM) under the Mtoto Kwanza II Project (MK-II Biannual Reflection Meeting).

The sessions, organized by the Union of Tanzania Press Clubs (UTPC) in collaboration with Children in Crossfire (CiC), focused on two key areas:

Practical Data Journalism for Journalists: exploring how journalists can use data to strengthen reporting, uncover evidence, and produce more compelling and accurate stories.

Maximizing the Ethical Use of AI in the Newsroom: focusing on practical applications of AI in journalism while emphasizing responsible, ethical, and accurate use of AI tools.

At Nukta Africa, we remain committed to strengthening newsroom capacity through practical training, data, AI, and innovation that empower journalists to produce impactful, evidence-based journalism.

Information is a right, not a privilege. On International Day for Universal Access to Information, we recognize the powe...
28/09/2026

Information is a right, not a privilege.

On International Day for Universal Access to Information, we recognize the power of timely, accurate, and accessible information to help people make informed decisions, participate in society, and hold institutions accountable.

At Nukta Africa, we remain committed to advancing journalism that makes reliable information easier to understand, access, and use.

Everyone, everywhere, deserves access to information.

🕊️ International Day of Peace 2026Peace is more than the absence of conflict; it is built through understanding, dialogu...
21/09/2026

🕊️ International Day of Peace 2026

Peace is more than the absence of conflict; it is built through understanding, dialogue, respect, and responsible communication.

This International Day of Peace, Nukta Africa joins the world in promoting peaceful communities and workplaces where everyone can thrive.

🌍 Invest in peace—for everyone, everywhere, and every day.

🗳️ MPIGIE KURA ESAU EZRA NG’UMBI !Esau anashiriki tuzo za Samia Kalamu Awards 2026.Tunaomba kura yako kumuunga mkono! 👉 ...
17/09/2026

🗳️ MPIGIE KURA ESAU EZRA NG’UMBI !

Esau anashiriki tuzo za Samia Kalamu Awards 2026.

Tunaomba kura yako kumuunga mkono!
👉 Piga kura hapa:https://samiaawards.tz/mshiriki/260071
⏰ Unaweza kupiga kura mara moja kila baada ya saa 24.

Kura yako ina mchango mkubwa kufanikisha ushindi. Mpigie kura leo!

🗳️ MPIGIE KURA ESAU EZRA NG’UMBI !Esau anashiriki tuzo za Samia Kalamu Awards 2026.Tunaomba kura yako kumuunga mkono! 👉 ...
17/09/2026

🗳️ MPIGIE KURA ESAU EZRA NG’UMBI !

Esau anashiriki tuzo za Samia Kalamu Awards 2026.

Tunaomba kura yako kumuunga mkono!
👉 Piga kura hapa:https://samiaawards.tz/mshiriki/260187
⏰ Unaweza kupiga kura mara moja kila baada ya saa 24.

Kura yako ina mchango mkubwa kufanikisha ushindi. Mpigie kura leo!

🗳️ MPIGIE KURA DANIEL SAMSON!Samson anashiriki tuzo za Samia Kalamu Awards 2026.Tunaomba kura yako kumuunga mkono! 👉 Pig...
17/09/2026

🗳️ MPIGIE KURA DANIEL SAMSON!

Samson anashiriki tuzo za Samia Kalamu Awards 2026.

Tunaomba kura yako kumuunga mkono!
👉 Piga kura hapa: https://samiaawards.tz/mshiriki/260259
⏰ Unaweza kupiga kura mara moja kila baada ya saa 24.

Kura yako ina mchango mkubwa kufanikisha ushindi. Mpigie kura leo!

Kutoka changamoto hadi suluhisho! đź’ˇBaada ya jana kuwahoji watumiaji wa taarifa na kuchambua mahitaji yao, washiriki wa H...
11/09/2026

Kutoka changamoto hadi suluhisho! đź’ˇ

Baada ya jana kuwahoji watumiaji wa taarifa na kuchambua mahitaji yao, washiriki wa HCD wanachuja mawazo kwa kutumia , wakizingatia athari na umuhimu wa suluhisho kwa mtumiaji wa taarifa.

Pia wataendelea kuboresha mawazo bunifu yao ya kukabiliana na habari potofu Tanzania kwa ushauri kutoka kwa wataalamu na kuanza kuyageuza kuwa (uhalisia) zinazoweza kujaribiwa.

Hatua kwa hatua: Fikiri → Chuja → Boresha → Tengeneza.

10/09/2026

Programu Meneja wa Shirika la International Media Support (IMS), Fausta Musokwa amesema ni muhimu kuongeza ubunifu katika vyombo vya habari na kuwajengea uwezo waandishi wa habari kukabiliana na taarifa potofu na matamshi ya chuki (hate speech), akisisitiza kuwa waandishi wana nafasi muhimu katika kulinda demokrasia kwa kuhakikisha wananchi wanapata taarifa sahihi na zilizothibitishwa.

Fausta alikuwa akizungumza katika mafunzo ya siku tatu ya Ubunifu Unaomlenga Mtumiaji (HCD) yanayofanyika jijini Arusha, Septemba 9–11, 2026, yakishirikisha waandishi wa habari, wahariri na wataalamu wa masoko na biashara kutoka taasisi 10 za habari Tanzania.

Mafunzo hayo ni sehemu ya programu ya Maabara ya Fikra Bunifu na Uvumbuzi (Design Thinking and Innovation Lab), inayosimamiwa na IMS na washirika wake: Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) na JamiiAfrica, kwa lengo la kutafuta suluhu za kukabiliana na changamoto ya taarifa potofu.

SAFARI YA KUKABILIANA NA TAARIFA POTOFU INAENDELEA JIJINI ARUSHAJana Septemba 9, 2026, washiriki wa mafunzo ya Ubunifu U...
10/09/2026

SAFARI YA KUKABILIANA NA TAARIFA POTOFU INAENDELEA JIJINI ARUSHA

Jana Septemba 9, 2026, washiriki wa mafunzo ya Ubunifu Unaomlenga Mtumiaji (HCD) walianza safari ya kuelewa namna ubunifu unaomlenga mtumiaji unavyoweza kusaidia kukabiliana na taarifa potofu Tanzania.

Washiriki wa mafunzo haya ambao ni waandishi wa habari, wahariri na wataalamu wa masoko na biashara kutoka taasisi 10 za habari nchini walijifunza kwa nini ni muhimu katika kushughulikia habari potofu, mchakato wake na hatua ya kwanza ya .

Leo, wanaendelea na hatua ya pili ya : kuchunguza kwa kina mahitaji, tabia na uzoefu wa watumiaji wa taarifa ili kupata suluhu zinazojibu changamoto halisi.

Mafunzo haya yanayofanyika jijini Arusha, September 9-11, 2026 ni sehemu ya programu ya Maabara ya Fikra Bunifu na Uvumbuzi (Design Thinking and Innovation Lab) inayosimamiwa na Shirika la International Media Support (IMS) kwa kushirikiana na Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), JamiiAfrica na Nukta Africa.

“Utakapokua unaandaa kipindi chochote au bidhaa ya habari ni lazima uzingatie mahitaji, matarajio, tabia na matarajio ya...
09/09/2026

“Utakapokua unaandaa kipindi chochote au bidhaa ya habari ni lazima uzingatie mahitaji, matarajio, tabia na matarajio ya watu unaowalenga kuwafikia ili ufanikiwe,” - Afisa Mtendaji Mkuu wa Nukta Africa aliyekua akizungumza katika mafunzo ya siku tatu kuhusu Ubunifu Unaomlenga Mtumiaji (Human-Centred Design – HCD) akisisitiza wanahabari kuandika habari zenye ukweli na zilizothibitisha ili kuepuka kupotosha wananchi.

Mafunzo hayo yanafanyika jijini Arusha, Septemba 9–11, 2026, yakishirikisha waandishi wa habari, wahariri na wataalamu wa masoko na biashara kutoka taasisi 10 za habari Tanzania.

Mafunzo hayo ni sehemu ya programu ya Maabara ya Fikra Bunifu na Uvumbuzi (Design Thinking and Innovation Lab), inayosimamiwa na Shirika la International Media Support (IMS) na washirika wake: Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) na JamiiAfrica, kwa lengo la kutafuta suluhu za kukabiliana na changamoto ya taarifa potofu.

Address

1st Floor, House 12, Mwinjuma Road, Near Kinondoni Vijana
Dar Es Salaam
14108

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:30
Tuesday 08:00 - 17:30
Wednesday 08:00 - 17:30
Thursday 08:00 - 17:30
Friday 08:00 - 17:30
Saturday 09:00 - 15:00

Telephone

+255677088088

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nukta Africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nukta Africa:

Shortcuts

Share