08/05/2026
Ghorofa la ndugu wawili mmoja anakaa juu mwingine Chini, Sasa huyu wa Juu amekarabati ili kwake kupendeze na wa chini anaamua nae anataka afanye mabadiliko auze kiwanja akajenge eneo lingine. Sasa nguli wa sheria tupe msaada nini kifanyike.
Graphic Designer.