03/02/2017
Kuna mwanafunzi aliulizwa na mwalimu wake mapenzi ni nini
Akamjibu mwalimu
mapenzi ni k**a uongozi kila MTU anapenda kuupata ila anaye upata anatamani kuachia lakini moyo hautaki
Mwalimu unamaanisha nini
Mwanafunzi: tafakari
More: