25/09/2025
π Unataka CCTV Camera kwa usalama wa Nyumba au Biashara yako?
Siku hizi matukio ya wizi na uharibifu ni mengi⦠Lakini ukiwa na CCTV Camera unaweza:
β
Kuona kila kinachoendelea ukiwa popote kupitia simu yako π±
β
Kupata ushahidi wa tukio lolote π₯
β
Kuishi kwa amani ukijua mali zako zipo salama π‘
Huduma zetu:
π§ Ufungaji wa CCTV Camera (Installation)
π οΈ Matengenezo na Ukarabati (Maintenance)
π‘ Kuunganisha kamera zako na simu moja kwa moja
π Piga / WhatsApp: 0623 040 588
π Social Media:
π Usisubiri mpaka shida itokee, linda mali zako mapema!
π Share post hii na rafiki yako anayehitaji ulinzi leo.