The Loov

The Loov Where Tech Meets Art. �

05/08/2026

Microsoft Surface
- RAM 8GB
- SSD 256GB
- Touch Screen
Nyepesi, stylish na performance ya nguvu kwa kazi, masomo na biashara.
Bei ya zamani: TSh 750,000 ❌
SASA NI TSh 700,000 TU! ✅

Stock ni chache, usichelewe

📍 Odio Labs – Makumbusho, Dar es Salaam.
🚚 Tunasafirisha Tanzania nzima. Ukishapokea mzigo wako kutoka kwa transporter ndipo unalipia.
📞 +255 752 317 788

05/08/2026

Lenovo Yoga 300e – 300,000
HP ProBook 11EE G1 – 350,000
Dell Latitude 3120 – 400,000

- Imara na zenye performance nzuri
- Zinafaa kwa wanafunzi, biashara na matumizi ya ofisini
- Stock ni chache, wahi kabla hazijaisha!

📍 Odio Labs – Makumbusho, Dar es Salaam.
🚚 Tunasafirisha Tanzania nzima. Ukishapokea mzigo wako kutoka kwa transporter ndipo unalipia.
📞 +255 752 317 788

Hot New arrivals🔥🔥 *USB/TYPE C 8 IN 1 HUB*     ▪️1 x USB 3.0 port     ▪️3 x USB 2.0 ports     ▪️1x TF (microSD)     ▪️1 ...
27/07/2026

Hot New arrivals🔥🔥

*USB/TYPE C 8 IN 1 HUB*

▪️1 x USB 3.0 port
▪️3 x USB 2.0 ports
▪️1x TF (microSD)
▪️1 x 3.5mm Audio Jack
▪️1x USB-C Data/Power Port
▪️1xSD card slot

Price 25,000/=
📍Makumbusho
📞+255 752 317 788

26/07/2026

Laptop za wateja wetu wa mikoani zikiwa tayari kwaajili ya delivery.

Tupigie sasa ujipatie laptop kali, bei rahisi na offer kibaooo.

📍Makumbusho, Dar es salaam

call or whatsapp 0752317788

16/07/2026

Unataka laptop yenye muonekano wa premium, nyepesi kubeba na yenye kasi ya kufanya kazi? Odio labs tumekusogezea Microsoft Surface
- Muundo wa kisasa na wa kifahari
- Inawaka haraka kutokana na SSD
- Inafaa kwa kazi za ofisini, masomo, editing za kawaida na matumizi ya kila siku
- Battery hudumu kwa muda mrefu
- Display kali yenye picha safi na rangi zenye kuvutia
K**a unapenda ubora, Microsoft Surface ni laptop inayokupa hadhi na performance kwa wakati mmoja kwa Shiiling 750,000 Tu
📍Makumbusho
📞+255 752 317 788

14/07/2026

Unatafuta laptop ambayo inamuonekano wa kishua, inafanya kazi kwa kasi na haitakuvunjia kibubu chako.
Odio labs tumekusogezea HP ProBook G5.

- RAM 8GB
- SSD 256GB
- Intel Core i5 Gen 8th
- Muundo mwembamba na wa kisasa
- Battery nzuri kwa matumizi ya kila siku

Kuanzia kazi za ofisini, Zoom meetings, masomo, browsing hadi multitasking
Hp Pro Book G5 ni mashine imejengwa kukupa performance unayoihitaji.

📍Makumbusho
📞+255 752 317 788

13/07/2026

HP EliteBook G1
Slim. Simple. Premium
Laptop yenye muonekano wa bei kubwa na ubora wa hali ya juu. Nyembamba, nyepesi na metallic body inayovutia unaipata kwa
500,000 Tu.
Inafaa kwa kazi,
Biashara,
Masomo,
Lifestyle ya kisasa.
📍Makumbusho
📞+255 752 317 788

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Loov posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share