Shop With Verifier

Shop With Verifier � Your Trusted Online Marketplace
� Shop everything you need, all in one place
� Fast &Reliable

Mshtaki mpya wa Rapa   anadai alikuwa na umri wa miaka 10 alipopewa Dawa za kulevya na Kubakwa na Rapa huyo Mwaka 2005  ...
29/10/2024

Mshtaki mpya wa Rapa anadai alikuwa na umri wa miaka 10 alipopewa Dawa za kulevya na Kubakwa na Rapa huyo Mwaka 2005

Muongozaji wa video kutoka Tanzania Director Hanscana asema kuwa Tanzania ndio nchi pekee makampuni huwa wanapata matang...
25/10/2024

Muongozaji wa video kutoka Tanzania Director Hanscana asema kuwa Tanzania ndio nchi pekee makampuni huwa wanapata matangazo buree kutoka kwa master wa hapa bongo kasoro wachezaji mpira tena baadhi ni makampuni ya ndege

Hascana asema maneno hayo katika instastory yake kwania K**a ya kuwashtua baadhi ya mastar wanaopenda kutoa free promotion kwakupiga picha katika maeneo wanayo yatembelea kwamfano katika makampuni ya
ndege

Pia adai utamaduni wa wasanii au mastar wengi kupanda ndege kwa nchi yetu ya Tanzania ni
K**a kuonesha ufahar na kuonekana mtu amejipata

Joketi amjibu shabiki aliye comment katika post yake kuwa “unatuzuga napicha za zamani huosio muonekano wa sasa ushazeek...
25/10/2024

Joketi amjibu shabiki aliye comment katika post yake kuwa “unatuzuga napicha za zamani huo
sio muonekano wa sasa ushazeeka ushakuwa bibi umri hausubiri” na Joketi kumjibu hakuna ubaya kuwa bibi
mbona ni kheri

Chinno pamoja na mavoko wamshilikisha Jose chameleon kwenye remix ya mwakitale
25/10/2024

Chinno pamoja na mavoko wamshilikisha Jose chameleon kwenye remix ya mwakitale

Hivi kicheche aliishia wapi??😳
23/10/2024

Hivi kicheche aliishia wapi??😳

Staa wa muziki   ameonesha kuvutiwa na Clip ya wapenzi   na   ambayo wanaimba kionjo cha wimbo mpya wa
23/10/2024

Staa wa muziki ameonesha kuvutiwa na Clip ya wapenzi na ambayo wanaimba kionjo cha wimbo mpya wa

Msanii whozu ameshare katika insta story yake, akionesha kukelwa na tabia ya watu wanao muibia majina yake anayo pewa K*...
23/10/2024

Msanii whozu ameshare katika insta story yake, akionesha kukelwa na tabia ya watu wanao muibia majina yake anayo pewa K**a vile chibaba na shunu

Baada ya Marioo kuhoji kwanini chinokid anamchukia na nikipi kibaya amemfanyia mpaka amchukie na kudai kuwa inawezekana ...
22/10/2024

Baada ya Marioo kuhoji kwanini chinokid anamchukia na nikipi kibaya amemfanyia mpaka amchukie na kudai kuwa inawezekana chinno alituma watu wamuweke sumu marioo,Chinno aonesha amani na kuweka dp picha inayo muonesha yeye na marioo wakiwa wamekumbatiana

star wa muzik wa bongo flavor   amjibu mwanamuziki   ambae alikuwa dancer wake na kuulizaa kipi alicho mkosea   mpaka am...
22/10/2024

star wa muzik wa bongo flavor amjibu mwanamuziki ambae alikuwa dancer wake na kuulizaa kipi alicho mkosea mpaka amchukie

Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Insta Story), amedai anashindwa kuelewa ni kwanini amekuwa akimchukia na kumchafua mara kadhaa kwenye mitandao
ya kijamii.

Hata hivyo marioo ameshare pia kwenye instastory yake akiwa hospitali na kusema pengune chinno ndo alituma watu wamuwekee sumu Ila Kwa bahat nzuri aliwaishwa hospitali

Dancer wakike  kutoka Tanzania anae fanya vizur nje na ndani ya Tanzania ahoji kwanini .tanzania  wametoa kipengele cha ...
20/10/2024

Dancer wakike kutoka Tanzania anae fanya vizur nje na ndani ya Tanzania ahoji kwanini .tanzania wametoa kipengele cha dancer bola, na aomba waekewe tuzo za dancer pekee

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam
12101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shop With Verifier posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share