VidalTec

VidalTec VidalTec: Innovating tech solutions to simplify and empower your digital world.

Please follow us.
13/08/2025

Please follow us.

‎✨Je Wajua?✨‎‎💾 Diski ya kuhifadhia (floppy disk) ya zamani ilikuwa na uwezo mdogo kuliko picha moja ya simu ya sasa!‎‎F...
03/07/2025

‎✨Je Wajua?✨

‎💾 Diski ya kuhifadhia (floppy disk) ya zamani ilikuwa na uwezo mdogo kuliko picha moja ya simu ya sasa!

‎Floppy disk (au disketi) maarufu miaka ya 1980 hadi 1990, ilikuwa inahifadhi 1.44 MB tu. Leo hii, picha moja tu ya simu yako ya kisasa inaweza kuwa na ukubwa wa zaidi ya 3 MB – hiyo ni zaidi ya disketi mbili kwa picha moja tu!

‎Leo tunatumia flash drive, external hard drives, na cloud storage kuhifadhi maelfu ya picha, video na faili – jambo ambalo lingeonekana k**a ndoto miaka hiyo.





03/07/2025

‎✨Je wajua?✨

‎🧠 Kompyuta ya kwanza ya kidijitali ilikua kubwa sana kiasi kwamba ilichukua chumba kizima!

‎Kompyuta hiyo iliitwa ENIAC (Electronic Numerical Integrator and Computer), na ilikamilika mwaka 1945. Ilikuwa na uzito wa zaidi ya tani 27 na ilitumia umeme mwingi sana — kiasi cha kuwasha nyumba zaidi ya 100 kwa wakati mmoja!

‎Cha kushangaza zaidi? Ili kuiendesha, ilibidi watu waweke waya kwa mikono, k**a vile wanavyounganisha redio au mashine za zamani. Hakukuwa na “mouse” wala “keyboard” k**a tunavyotumia leo.

03/07/2025

Welcome to VidalTec. Tech company where technology is redefined.

You can also follow on Instagram to see more.
02/07/2025

You can also follow on Instagram to see more.

iPhone
13/09/2024

iPhone

Digital world, old is gold
13/09/2024

Digital world, old is gold

digital world with VidalTec
24/07/2024

digital world with VidalTec

firtst computer in the world
24/07/2024

firtst computer in the world

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VidalTec posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share