Sasa electronic and power tools

Sasa electronic and power tools Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sasa electronic and power tools, Electronics, Mbagala Zakhem, Dar es Salaam.

Tunahusika na uuzaji wa vifaa vya umeme pamoja na mashine tofauti tofauti k**a mashine za kuchomelea,mashine za kufunga na kufungua screw na nati,pamoja na mashine za kutobolea mbao,ukuta na vitu vigumu.

04/04/2026

OFFER OFFER OFFER
Karibu sana mteja wetu bei zetu ni nafuu kila mtu apate.

04/04/2026

OFFER OFFER. OFFER
Jipatie welding machine,cordless drill machine na Angle grinder kwa bei ya punguzo

1. Welding machine DEWALT MMA 300 Kwa bei ya punguzo ya Tsh 110,000 tu.

2.Wusen cordless drill machine ikiwa full box na battery 2,charge ,drill bits,screw drivers pamoja na vikombe vya kufungulia nati.
Unaipata kwa bei ya 110,000 tu

3.Makita cordless drill machine ikiwa full box na battery 2,charge ,drill bits,screw drivers pamoja na vikombe vya kufungulia nati.
Unaipata kwa bei ya 120,000 tu.

4.MEINENG angle grinder inch 5 utaipata full na vifaa vyake kwa bei ya Tsh 100,000 tu.

Tupigie 0748056758

24/03/2026

DEWALT MMA 500A

23/03/2026

Mrejesho wa mteja wetu baada ya kuchukua DEWALT MMA 500A,kakubali shughuli yake.

22/03/2026

Mashine yetu ndogo ya MMA 300 katika kazi,ni mashine ya uhakika na yenye matokeo mazuri.

19/03/2026

Angle grinder machine

Inapokea umeme (220–230V AC ),Ina power ya 950W,Ina kasi ya RPM inayobadilika (mara nyingi 6,000–11,000rpm),Ukubwa wa diskiwa kawaida 4½″ (115mm) au 5" (125mm) diski za kusaga au kukata.

Matumizi*: Kukata chuma, kusaga welds, kunoa, au kung'arisha chuma.
Uzito*: Kwa ujumla 4kg, na kuifanya iwe ya mkononi na kubebeka.

Inapatikana dukani kwetu kwa punguzo Tsh 100,000/= tu

Tupo Mbagala Rangi Tatu
Wasiliana nasi 0748-056758

19/03/2026

Karibu sana electronic and power tools
Tumekuletea mashine aina ya Dewalt Professional Inverter Welding Machine MMA 500

Mashine ya kuchomelea yenye moto mpaka 500 ,inamoto mkubwa kwa matokeo mazuri unapoitumia ,inakuja pamoja na brush ya chuma , cover ya kukukinga macho pale unapoitumia mashine.
Inachoma stiki kuanzia 2.5mm mpaka stiki ya 5mm ni mashine nzuri sana isiyopata moto na inafanya kazi vizuri sana.

Inapatikana kwa bei ya punguzo ya Tsh 200,000/=

19/03/2026

Karibu electronic and power tools
Tumekuletea mashine kampuni ya Dewalt Inverter Welding Machine MMA 300
Mashine ya kuchomelea yenye moto mpaka 300 ,inamoto mkubwa kwa matokeo mazuri unapoitumia ,inakuja pamoja na brush ya chuma , cover ya kukukinga macho pale unapoitumia mashine.

Inapatikana kwa bei ya punguzo ya Tsh 110,000/=

19/03/2026

Karibu tena electronic and power tools Ikiwa tumekuletea mashine ya kuchomelea kampuni ya Dewalt Inverter Welding Machine MMA 300
Mashine ya kuchomelea yenye moto mpaka 300 ,inamoto mkubwa kwa matokeo mazuri unapoitumia ,inakuja pamoja na brush ya chuma , cover ya kukukinga macho pale unapoitumia mashine.

Inapatikana kwa bei ya punguzo ya Tsh 110,000/=

19/03/2026

Karibu SASA Electronic and Power Tools kujipatia mashine tofauti tofauti zikiwa na ubora wa hali ya juu

1. Makita Brushless drill and screw driver machine.
Mashine hii ina uwezo mkubwa wa kutoboa ukuta,mbao na vitu vigumu ikiwa pia na uwezo wa kufunga screw pamoja na nati, Utaipata dukani kwetu ikiwa pamoja na charge,battery mbili,drill bits,screw drivers pamoja na vikombe kwa ajili ya kufungulia nati.
Mashine hii pia inafaa kwa mafundi wetu wa ceiling board ni nzuri na nyepesi ikiwa na ufanisi wa hali ya juu.

Inapatikana kwa bei ya punguzo ya Tsh 110,000/=

Wasiliana nasi kwa namba 0748-056758

19/03/2026

Cordless Drill machine na pia ni Screwdriver machine ikiwa inafanya kazi zote mbili inapatikana dukani kwetu @ Sasa Electronic and Power Tools kwa bei ya punguzo ya Tsh 100,000/= tu

1. Inakuja pamoja na drill za kutobolea.
2. Inakuja pamoja na screwdriver za kufungia na kufungulia screw.
3. Inakuja pamoja na battery 2
4. Inakuja na charge ya kuchajia battery
5. Inakuja na vikombe kwa ajili ya kufungulia nuts
6. Inapatikana full complete ikiwa kwenye box lake

Tunapatikana Mbagala Rangi tatu
Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa na utalipia ukishapokea mzigo wako pia tunafanya delivery kwa Dar es salaam bure kabisa kwa maeneo ya karibu!

Tupigie 0748-056758

Karibu sana ujipatie mashine imara na zenye uwezo mkubwa1. Makita Brushless drill and screw driver Kwa bei ya punguzo ya...
11/03/2026

Karibu sana ujipatie mashine imara na zenye uwezo mkubwa

1. Makita Brushless drill and screw driver
Kwa bei ya punguzo ya Tsh 130,000

2. Yuwen cordless Drill machine
Kwa bei ya punguzo ya Tsh 120,000

3.Dewalt Inverter Welding Machine MMA 350
Kwa bei ya punguzo ya Tsh 130,000

4.Dewalt Professional Inverter Welding Machine MMA 500
Kwa bei ya punguzo ya Tsh 250,000

5.Angle grinder machine disc inch 5
Kwa bei ya punguzo ya Tsh 100000

Address

Mbagala Zakhem
Dar Es Salaam
4517

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00
Sunday 08:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sasa electronic and power tools posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category