EzyCard Tz

EzyCard Tz Ezy Card hutoa huduma ya Kadi za Kielektroniki mtandaoni kwa mialiko na tiketi. Wakifika ukumbini, Kadi zitaskaniwa.

Inaruhusu kuwaalika wapendwa wako kwa simu, kutuma Kadi za QR Code kwa watumiaji wa Whatsapp, na ujumbe wa mwaliko kwa wasio na Whatsapp.

20/11/2024
Uongozi na Team Nzima ya EzyCard inapenda kuungana na wanaume wote Duniani Kusherehekea Siku ya Wanaume Duniani.   ✅
19/11/2024

Uongozi na Team Nzima ya EzyCard inapenda kuungana na wanaume wote Duniani Kusherehekea Siku ya Wanaume Duniani.

Kwetu Thamani na upendo kwa waalikwa wetu ni namba moja tunazingatia Usimamizi mzuri na lugha ya upendo wenye weledi kaz...
17/11/2024

Kwetu Thamani na upendo kwa waalikwa wetu ni namba moja tunazingatia Usimamizi mzuri na lugha ya upendo wenye weledi kazini, kutana na Ms.Faith kwa huduma iliyobora.

Wasiliana Nasi☎️:0766411911 / 0769411911

Ukiwa Makao Ya Nchi (DODOMA) unakutana na Ms.Mirry kwa huduma safi kabisa ambayo inajawa na upendo na tabasamu kubwa kut...
17/11/2024

Ukiwa Makao Ya Nchi (DODOMA) unakutana na Ms.Mirry kwa huduma safi kabisa ambayo inajawa na upendo na tabasamu kubwa kutoka kwake.
EzyCard kokote tupo na tunafika

Wasiliana Nasi☎️:0766411911 / 0769411911

Uongozi na Team nzima ya Ezycard inatoa pole kwa wafanyabiashara na watumiaji wote wa soko la Kariakoo kufuatiwa na Jang...
16/11/2024

Uongozi na Team nzima ya Ezycard inatoa pole kwa wafanyabiashara na watumiaji wote wa soko la Kariakoo kufuatiwa na Janga lililotokea.

Hakika Kwetu wewe ni Zaidi ya Familia.Kila Jitihada unayoonesha kwa ajili ya EzyCard tunaithamini na kuipokea Kwa mikono...
16/11/2024

Hakika Kwetu wewe ni Zaidi ya Familia.Kila Jitihada unayoonesha kwa ajili ya EzyCard tunaithamini na kuipokea Kwa mikono Miwili tunasema Asante sana na Dodoma ipo Sahihi Mikono salama Mr Burudani na

Invitations & Entrace:
Host & Official Ambassador:

𝐓𝐮𝐧𝐚𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐚 𝐤𝐮𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐕𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢.🙏🏽Wasiliana Nasi ☎️:0766411911 / 0769411911 ✅
09/11/2024

𝐓𝐮𝐧𝐚𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐚 𝐤𝐮𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐕𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢.🙏🏽

Wasiliana Nasi ☎️:0766411911 / 0769411911

Tunawatakia Maulid yenye baraka, amani, na upendo kwa wote.
16/09/2024

Tunawatakia Maulid yenye baraka, amani, na upendo kwa wote.

Tunawatakia maadhimisho mema ya siku ya Nane Nane. Daima tutazidi kuendelea kutambua na kuthamini mchango wa Wakulima na...
08/08/2024

Tunawatakia maadhimisho mema ya siku ya Nane Nane. Daima tutazidi kuendelea kutambua na kuthamini mchango wa Wakulima na Wafugaji.


Kutana Na Kaka Ibrahim Pamoja na Dada Jackline Kwa ajili Ya Huduma Bora Kutoka Kwao Usiombe kukutana na Combination Hii ...
06/08/2024

Kutana Na Kaka Ibrahim Pamoja na Dada Jackline Kwa ajili Ya Huduma Bora Kutoka Kwao Usiombe kukutana na Combination Hii kwenye Ukumbi wako Utafurahi Sana.

Wasiliana Nasi ☎️
0766411911 / 0769411911

Kutana Na Kaka Kaylan Pamoja na Dada Siah Kwa ajili Ya Huduma Bora Kutoka Kwao Usiombe kukutana na Combination Hii kweny...
06/08/2024

Kutana Na Kaka Kaylan Pamoja na Dada Siah Kwa ajili Ya Huduma Bora Kutoka Kwao Usiombe kukutana na Combination Hii kwenye Ukumbi wako Utafurahi Sana.

Wasiliana Nasi ☎️
0766411911 / 0769411911

Address

Ali Hassan Mwinyi Road
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EzyCard Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to EzyCard Tz:

Share