15/09/2018
Habari. Tunahitaji msaada wako katika kutoa maoni kuhusu mfumo wa usafiri wa umma katika jiji la Dar es salaam
Tunajua usafiri wa umma una changamoto, kero na adha nyingi na pengine wewe umeshawahi kukumbana na baadhi ya hizo changamoto. Tunataka kutengeneza mfumo wa TEHAMA utakaosaidia watu k**a wewe kuweza kufurahia usafiri wa umma katika jiji la Dar es salaam. Tusaidie kujibu maswali ili tujue na sisi tupate namna ya kukusaidia ukiwa k**a msafiri ili uweze kusafiri bila bughudha au kero.
Bonyeza link hii hapa chini ili kuweza kujaza fomu
https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSdnm-ncilCNS5FR5ThAqGQV7Dp725BMbMavYTxOM_H6cyPwjA/viewform
Tunatanguliza shukrani zetu