Iphone Mbezi

Iphone Mbezi GENUINE SAMSUNG & IPHONE
AIRPODS, WATCH(apple& smartwhatch)
Tecno & infinix
Oppo,google pixel, Redmi & Vivo
USED FROM DUBAI
Call 0762385057

25/12/2024
Samsung Galaxy A16 Memory 128 gb 4 Ram , 256 gb 8 ram OS/ software ;Android 14 up to 16 major android upgrades, One UI 6...
15/12/2024

Samsung Galaxy A16
Memory 128 gb 4 Ram , 256 gb 8 ram
OS/ software ;Android 14 up to 16 major android upgrades, One UI 6.1
Display 6.7 super AMOLED
Camera 50Mp ; 25w wired
Battery; 5000mAh
Connectivity; 5G hybrid Dual SIM

Kampuni ya Tesla inayomilikiwa na bilionea Elon Musk, imetoa taarifa kwamba simu yake ya Tesla Pi inatarajiwa kuanza kup...
15/12/2024

Kampuni ya Tesla inayomilikiwa na bilionea Elon Musk, imetoa taarifa kwamba simu yake ya Tesla Pi inatarajiwa kuanza kupatikana kote duniani mwishoni mwa mwaka huu, 2024.

Simu hiyo inatajwa kuja kuleta mapinduzi makubwa katika sekta ya mawasiliano kwa simu za mkononi, ikiwa na sifa kibao ambazo hazipo kwenye simu nyingine, kubwa ikiwa inatumia nishati ya jua kujichaji.

Inaelezwa kuwa huenda simu hiyo ikaja kuleta upinzani mkubwa kwa simu za iPhone ambazo zinasifika duniani kote kutokana na ubora wake.

Sifa za kipekee za simu hizo, ya kwanza ni kwamba k**a ilivyoelezwa, hakuna haja ya kuchaji betri kwa sababu inajichaji yenyewe kwa kutumia nishati ya jua.

Huna haja ya kuchomeka 'charger' kwenye umeme, unachotakiwa ni kuwa tu sehemu yenye jua au yenye mwanga kisha simu inaendelea kujichaji yenyewe 'automatically'.

Sifa yake ya pili ni kwamba hakuna haja ya kujiunga na intaneti ya kawaida kwani simu hizo zinaunganishwa moja kwa moja na mtandao wa Starlink uliosambaa duniani kote unaotumia satelite ili kupata intaneti.

Sifa nyingine kubwa ni kwamba simu hiyo ina uwezo wa kuunganisha dunia, mwezi na sayari ya Mars, kwamba k**a upo duniani na mtu mwingine yupo mwezini, basi unampata vizuri kabisa hewani ukimpigia simu.

Inaelezwa kuwa simu za Tesla zinakuja kuleta mapinduzi makubwa katika ulimwengu wa teknolojia na kubadilisha kabisa jinsi watu wanavyotumia simu za kisasa.

Karibu dukani kwetu ujipatie mkopo wa smartphones genuine . kwa uharaka na mashariti ya kawaidaOfisi ipo MBEZI MWISHO CR...
20/09/2023

Karibu dukani kwetu ujipatie mkopo wa smartphones genuine . kwa uharaka na mashariti ya kawaida
Ofisi ipo MBEZI MWISHO CRDB BANK .

Simu tunazokopesha pamoja na malipo ya awali ( kianzio )

🌍samsung A03core 32GB ram 2 kianzio 65,000/=
🌍samsung A04e 32Gb ram 3 kianzio 75,000
🌍samsung A04e 64GB ram 3 kianzio 90,000
🌍samsung A14 GB 64 ram 4 kianzio 110,000
🌍samsung A14 GB 128 ram 4 kianzio 120,000
🌍samsung A24 GB 128 ram 4 kianzio 150,000
🌍samsung A24 GB 128 ram 6 kianzio 160,000
🌍samsung A34 GB 128 ram 6 kianzio 220,000

MASHARTI YA MKOPO :

🪐 uwe na kitambulisho kimoja kati ya vifuatavyo 👇🏾

Kitambulisho cha mpiga kura ,
Kitambulisho cha Nida ,
Leseni ya udereva ,

Kianzio cha mkopo wa simu utakayochagua.

# zingatia vitu tajwa hapo juu
Karibu sana dukani kwetu
Call : +255 67 617 1775
Call: 076 238 50 57

Address

Mbezi Luis CRDB
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Iphone Mbezi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share