22/12/2025
MBKADI
Ni watengenezaji na wasambazaji wa kadi za kidijitali kwa njia ya simu za mkononi..
Mualikwa atapokea kadi kwanjia ya Whatsapp na normal text.
Gharama za Kadi za Kidijitali.
@1500/= na @2000/=
@.1500/=>
° Tunaandaa kadi kutokana na rangi pamoja na maua kutokana na rangi za sherehe husika (DRESS CODE)
°Tunatuma kadi kwa waalikwa wote wanaotumia whatsapp na wanaotumia simu ndogo.
°Kila.kadinya whatsapp itakua na utambulisho maalum wa Qrcode na kwa watakaopokea normal txt watapokea ujumbe wenye code namba ya utambulisho.
°Tunawapigia simu walaalikwa kuwakumbusha kuhudhuria sherehe siku tatu kabla ya sherehe na na siku husika.
°Tunafika ukumbini kukagua kadi ya kila mualikwa siku ya sherehe.
@2000/=
° Tunaandaa kadi kutokana na rangi pamoja na maua kutokana na rangi za sherehe husika (DRESS CODE) pia tutapamba picha ya maharusi katika kadi
ili kuongezea mvuto
°Tunatuma kadi kwa waalikwa wote wanaotumia whatsapp na wanaotumia simu ndogo.
°Kila.kadinya whatsapp itakua na utambulisho maalum wa Qrcode na kwa watakaopokea normal txt watapokea ujumbe wenye code namba ya utambulisho.
°Tunawapigia simu walaalikwa kuwakumbusha kuhudhuria sherehe siku tatu kabla ya sherehe na na siku husika.
°Tunafika ukumbini kukagua kadi ya kila mualikwa siku ya sherehe.
°Tunatoa link ya mfumo kwaajili ya uhakiki kwa kamati kufatilia walaalikwa wangap wamepokea kadi na wangapi bado.
°Kutoa taarifa ya sherehe baada ya shughuli kuisha.
NB: Pia tujatengeneza kadi Hardcopy kwa wateja watakao hitaji gharama ya kadi ni kuanzia 1000/= - 5000/= sawa na mteja anahitaji kadi ya ubora gani.
Tafadhari wasiliana na sisi kwa namba hizi
0618001433 au 0655184337
Mbkadi Simu yako kadi yako.
KARIBU SANA.