Heed Tech Solutions

Heed Tech Solutions Heed Tech Solutions – Tunatoa huduma za IT, ushauri wa computer, na tech tips za kuboresha performance ya PC yako.

Fast, reliable & professional πŸ’»βš‘β€
WASILIANA NASI..
πŸ“ž 0678 336 806
πŸ“§ [email protected]
πŸ“ Dar es Salaam, Tanzania”**

**β€œJe wajua PC bila RAM haiwezi kuwaka au kufanya kazi vizuri? πŸ’»πŸ€”RAM (Random Access Memory) ni sehemu muhimu sana kwenye...
18/04/2026

**β€œJe wajua PC bila RAM haiwezi kuwaka au kufanya kazi vizuri? πŸ’»πŸ€”

RAM (Random Access Memory) ni sehemu muhimu sana kwenye computer yako. Hii ndiyo memory ya muda (temporary memory) inayotumika kuhifadhi data za programu zinazo-run kwa sasa.

Kila unapofungua application k**a browser, game au software yoyote, RAM ndiyo inabeba hiyo kazi ili PC iweze kufanya kazi kwa speed nzuri ⚑

Ukikuwa na RAM ndogo:
❌ PC itakuwa slow sana
❌ Apps zitafunguka kwa shida
❌ Mfumo unaweza kufreeze mara kwa mara πŸ˜…

Lakini ukiwa na RAM kubwa zaidi:
βœ… Speed inaongezeka
βœ… Multitasking inakuwa smooth
βœ… Overall performance inakuwa better πŸ”₯

Kwa kifupi, RAM ndiyo moyo wa performance ya computer yako πŸ’―

Sasa niambie… PC yako ina RAM ngapi? 2GB, 4GB, 8GB au zaidi? πŸ‘‡πŸ˜Žβ€**



DDR2 or DDR3… Which one have you ever used?Drop your answer below πŸ‘‡πŸ”₯”
14/04/2026

DDR2 or DDR3… Which one have you ever used?
Drop your answer below πŸ‘‡πŸ”₯”

11/04/2026

COMPUTER ASSEMBEL STEP BY STEP

10/04/2026

πŸ’» Solved πŸ’― __ How to Fix Automatic Repair Loop of Windows 10 __ Windows Repair

KARIBU HEED TECH KWA HUDUMA BORA ZA KIDIGITALI
10/04/2026

KARIBU HEED TECH
KWA HUDUMA BORA ZA KIDIGITALI

Address

Dar-es-salam
Dar Es Salaam
14100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Heed Tech Solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share