Dokta Eld

Dokta Eld Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dokta Eld, Dar es Salaam.

whatsApp us 0768400453
13/11/2020

whatsApp us 0768400453

Ahsante sana wateja wetu kwa kutuamini πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
13/11/2020

Ahsante sana wateja wetu kwa kutuamini πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

𝐁𝐋𝐄𝐒𝐒𝐄𝐃𝐄𝐋𝐍𝐀 π“πˆππ’Leo tunawapa tip ya namna gani utaweza ku test earphones / headphones zako na kujua kweli k**a zina base...
10/11/2020

𝐁𝐋𝐄𝐒𝐒𝐄𝐃𝐄𝐋𝐍𝐀 π“πˆππ’
Leo tunawapa tip ya namna gani utaweza ku test earphones / headphones zako na kujua kweli k**a zina base na zina Support features mbalimbali za music.

Usinunue earphones/headphones ilimradi umenunua,NO NO NO. Nunua earphones ambazo hata ukivaa uta enjoy effect na base ya mziki inayotolewa na earphones zako.

Leo tutakupatia nyimbo 3 ambazo Utazitumia ku test earphones zako, usiambiwe tu zina base wakati base lenyewe sio lile kweli ☺️.

Track 1: SEVEN NATION ARMY- THE WHITE STRIPES

Ilirekodiwa kwa kutumia vifaa vya kabla ya miaka ya 1960 na kwa hivyo ina sauti halisi ya analog ndani yake.

Track hii ni nzuri sana na imekuwa ikitumiwa na ma Kampuni makubwa kupimia ubora wa earphones/headphones zao kabla ya kuzitoa.

K**a earphones zako kweli zina base na ni nzuri, ukiwa unaisikiliza ngoma hii utasikia hayaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡.

β˜€οΈNgoma zinazopigwa kwenye wimbo huu utazisikia kwa ukaribu, na base lake litakuwa zito na limetulia.
β˜€οΈ Guitar inayochezwa bass imepigwa kushoto, hii itakujulisha sauti yako ya stereo inafanya kazi
β˜€οΈ Hi-fi effect uta I feel
β˜€οΈ Dynamic Range effect kati ya verse na chorus

πšƒπš›πšŠπšŒπš” 2: π™·πš’πš’ πšπšžπšπšŠπš πšŠπš™πšŠ πšŒπš˜πš–πš‹πš’πš—πšŠπšπš’πš˜πš— 𝚒𝚊 πšπš›πšŠπšŒπš”πšœ 3 𝚣𝚘𝚝𝚎 πš£πš’πš—πšŠ 𝚝𝚎𝚜𝚝 πš”πš’πšπšž πš”πš’πš•πšŽ πš”πš’πš•πšŽ

⚑ALAN WALKER - FADED
⚑ CLEAN BANDIT - SYMPHONY FT ZARA LARSSON
⚑ IMAGINE DRAGONS- BELIEVER

Hizi ni nzuri sana ku test 8D tune effect ya earphones zako.

Uta feel kabisa mziki unazunguka kichwani na unakuwa una base la maana,pia kuna ile kupokezana, I hope uki play utanielewa zaidii.

Earphones zenye quality ndogo,uta feel 8D effect but with poor base🀭.

Ila lazima uwe umevaa earphones za masikio yote mawili ili uwezo ku enjoy, especially kwa hio track ya believer uta enjoy sana trust me.

Track 3: SHAPE OF YOU

Kwahiyo utaweza kuchagua nyimbo moja au 2 ukazitumia ku test earphones zako

Na sisi tuko hapa kukupatia kilicho bora

Tunazo earphones mbalimbali, KARIBU TUKUHUDUMIE

whatsApp us 0768400453

Morning FamilyJe,upo nje ya Dar es Salaam na unapenda pia kufrahi base la tws AIRDOTS,usjali wala usipate tabu. Tunatuma...
10/11/2020

Morning Family

Je,upo nje ya Dar es Salaam na unapenda pia kufrahi base la tws AIRDOTS,usjali wala usipate tabu. Tunatuma mizigo kwa uaminifu mkubwa, guarantee πŸ’― na unakufikia kwa wakati.

Waweza pia kumtuma ndugu/rafiki yako aliyepo Dar akuchukulie mzigo atakutumia yeye mwenyewe, inawezekana pia

Kwa wale ambao wapo Dar, tunafanya Delivery. Unalipia kiasi flani tunakuletea.

Delivery free around Sinza areas pekee

Call/whatsApp us 0768400453

Welcome πŸ€—

09/11/2020

Tunauza jumla na rejareja

whatsApp us 0768400453

New Model METTALIC INPODS 300  muonekano wake ni k**a wa airpods proUKINUNUA MOJA TUNAKUPATIA NA COVER LAKE BUREE KABISA...
09/11/2020

New Model METTALIC INPODS 300 muonekano wake ni k**a wa airpods pro

UKINUNUA MOJA TUNAKUPATIA NA COVER LAKE BUREE KABISA

SALE HADI IJUMAA HII

β˜€οΈ Asee hizi inpods 300 zina base la kishindo, mziki umetulia kabisa,trust me ukizitumia hutojutia

β˜€οΈ Zina ear πŸ‘‚ detection function,yani ukizitoa sikioni automatically zina pause music k**a ulikuwa wasikiliza music 🎢.

β˜€οΈ Zinaonesha really battery level,hazidanganyi. Ikisoma 50%inakuwa ndo iyo iyo kweli tofauti na inpods nyingine zinasoma 100 ukivaa dkk 2 inashuka hadi 20% ,ambao wameshakutana na fake wanaelewa

β˜€οΈ Zina pop up window function
β˜€οΈ ZINATUMIKA KWA SMARTPHONES ZOTE; ANDROID & IPHONE
β˜€οΈ Unaweza ukazitumia separately,yani moja moja au zote kwa pamoja ni sawa tu
β˜€οΈ Tap control function
β˜€οΈ Unaweza kuzitumia kusikiliza music, ku play,ku pause ,ku replay nk
β˜€οΈ Unazitumia kupokea simu na kukata,zina mic clear kabisa

β˜€οΈ Support rename
β˜€οΈ Zina SUPPORT GPS location
β˜€οΈZina SUPPORT SIRI FUNCTION
β˜€οΈ AUTOMATIC PAIRING

Listening time 4-4.5hours

OFFER PRICE: 80,000 TU BADALA YA 175,000
UNAPATA NA COVER BURE

TUMEFANYA HIVI ILI KILA MTU APATE

OFFER MWISHO IJUMAA, TUZINGATIE HILI

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dokta Eld posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share