computertz

computertz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from computertz, Computer repair service, soko la magomeni, mtaa wa makumbusho, kata ya mzimuni, 2nd floor room No. 75, Dar es Salaam.

Namex tenchnologies tulibahatika kupata mafunza mafupi kuhusu gate motor installation na matumizi yaliyotolewa na suppli...
20/02/2025

Namex tenchnologies tulibahatika kupata mafunza mafupi kuhusu gate motor installation na matumizi yaliyotolewa na supplier mkuu kutoka south africa yaliyofanyika dar es salaam katika ofisi za euro vision

Karibu namex technologies kwa Mahitaji ya Kufungiwa ELECTRIC FENCE IWE HOTEL,HOSTEL,APARTMENT,SHULE,VIWANDA,MAGODOWN,NYU...
21/01/2025

Karibu namex technologies kwa Mahitaji ya Kufungiwa ELECTRIC FENCE IWE HOTEL,HOSTEL,APARTMENT,SHULE,VIWANDA,MAGODOWN,NYUMBA ZA KUISHI,YARD,MASHAMBA tuone tukuhudumie huduma zetu ni nafuu na za uhakika kwa 100% kwani mafundi wetu ni wabobezi na wana uzoefu wa hali ya juu katika mifumo ya kiusalama...tupigie sasa kupitia namba:0719365163 au unaweza kututembelea ofisini kwetu:Magomeni market,room no:75,floor ya ii

*Electric fence installation
*Cctv camera installation
*gate motor installation
*fire alarm system installation
*intruder alarm installation
*Intercom installation
*Access control installation
*Ip phone & data installation
*Computer maintenance & repair
*Back up system installation

Na izi baadhi ya faida ya kufunga mifumo ya kiusalama na ya kisasa*Cct camera ufatilie matukio yanayoendelea nyumbani,of...
15/01/2025

Na izi baadhi ya faida ya kufunga mifumo ya kiusalama na ya kisasa

*Cct camera ufatilie matukio yanayoendelea nyumbani,ofisini,shuleni,godown,yard,shambani,kiwandani

*Electric fence kwa ajili ya kuzuia wezi wasiruke ukuta,shambani kwako kwani atapata zawadi ya kupigwa shoti na alarm italia kukujulisha kuwa kuna hali ya hatari

*Motorgate inarahisisha kufungua geti lako bila ya kumuita mlinzi au kushuka kwenye gari yako kwa utatumia remote kufungua gate lako

*Video doorbell utamuona mtu anayegonga getini kwako na kuruhusu aingie au asiingie hii inasaidia hata kwa wale wenye madeni😀😀😀

*Alarm system sensor umfanya muarifu akimbie pindi king'ora kikilia

*Biometric finger pint & attendance kwa ajili ya sign maudhurio na kujua muda sahihi walioingia wafanyakazi wako kw a mengineyo unaweza tupigia kupitia namba: 0719365163

Namex technologies tupo kwa ajili yako

Pan-tilt-zoom cameras are built with mechanical parts that allow them to swivel left to right, tilt up and down, and zoo...
01/01/2025

Pan-tilt-zoom cameras are built with mechanical parts that allow them to swivel left to right, tilt up and down, and zoom in and out of a scene

Kamera za Pan-tilt-zoom zimeundwa kwa sehemu za mitambo zinazoziruhusu kuzunguka kushoto kwenda kulia, kuinamisha juu na chini, na kuvuta ndani na nje ya tukio

Kwa masiliano tupigie kupita namba:0719365163

Location📍Magomeni market(soko la magomeni)

Tupate faida kidogo ya hii cabinet kwenye matumizi ya camera
11/12/2024

Tupate faida kidogo ya hii cabinet kwenye matumizi ya camera






Kazi tumeikamilisha na hakika imekamilika kilichobakia mteja wetu ni kuendelea kufurahia maisha ya kidijitali
08/12/2024

Kazi tumeikamilisha na hakika imekamilika kilichobakia mteja wetu ni kuendelea kufurahia maisha ya kidijitali



Ijue coaxial cable na matumizi yake kwenye camera za analogy
06/12/2024

Ijue coaxial cable na matumizi yake kwenye camera za analogy





Ujue mpangilio wa color code za utp cable jinsi ulivyo kabla aujafanya climping kwenye RJ45
06/12/2024

Ujue mpangilio wa color code za utp cable jinsi ulivyo kabla aujafanya climping kwenye RJ45






Cable tester kwa ajili ya kutest cabe k**a ipo sawa
05/12/2024

Cable tester kwa ajili ya kutest cabe k**a ipo sawa

Niwape somo kidogo wateja wangu kuhusu cable za UTP na Coaxial na je ni ipi cable inayotumika kwenye camera za analogy n...
05/12/2024

Niwape somo kidogo wateja wangu kuhusu cable za UTP na Coaxial na je ni ipi cable inayotumika kwenye camera za analogy na ipi cable inayotumika kwenye camera za ip pamoja na matumizi yake!

Tunawapenda sana





We are provide service of computer maintenance & repair,cctv camera,electric fence,fire alarm,intercom,access control,in...
21/11/2024

We are provide service of computer maintenance & repair,cctv camera,electric fence,fire alarm,intercom,access control,intruda,motorgate e.t.c

Call us through:0719365163

Location📍:magomeni market(soko la magomeni)dsm

Address

Soko La Magomeni, Mtaa Wa Makumbusho, Kata Ya Mzimuni, 2nd Floor Room No. 75
Dar Es Salaam
14102

Telephone

+255719365163

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when computertz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share