02/07/2026
Hapa ndipo duka lako la simu linapopoteza pesa bila wewe kujua... 📉📱
> Biashara ya gadgets ina maeneo mawili hatari zaidi: **Asubuhi wakati wa kufungua duka**, na **Jioni wakati wa kufunga**. K**a huna mfumo wa uhakika wa kujua k**a simu zilizopo kabatini ndio zilezile zilizo kwenye mahesabu yako, nafasi ya kuibiwa au kupoteza mali ni kubwa sana.
> Kazi ya kuhesabu IMEI moja baada ya nyingine kwa daftari kila siku inachosha, na ndio maana makosa hutokea.
> **NafDex imekuja kutatua hili kabisa kupitia Automated Quick Tasks! 🛠️⚡**
> Kuanzia sasa, kusimamia mzigo wako imekuwa rais sana:
> 🔄 **Uhakiki wa Asubuhi na Jioni:** Mfumo unazalisha ‘task’ maalum kila duka linapofunguliwa na kufungwa ili kulinganisha *physical stock* (simu zilizopo mkononi) dhidi ya taarifa zilizopo kwenye NafDex.
> 👥 **Gawanya Majukumu (Re-assignable):** Unaweza kumkabidhi mfanyakazi yeyote duka likiwa linafunguliwa, na kazi hiyo ikafanyika kwa dakika chache kupitia simu yake.
> 🛑 **Sema Bye-Bye kwa Wizi:** Mfumo ukigundua kuna simu imepungua au IMEI haisomeki, unapata taarifa papo hapo kabla makosa hayajawa makubwa.
> Linda mtaji wako, dhibiti wafanyakazi wako, na uendeshe duka lako kismart ukiwa popote pale.
> 🔗 Tembelea **nafdex.sebuleni.com** sasa hivi kuanza kutumia mfumo huu ulioundwa maalum kwa ajili ya biashara yako ya simu!
> SimuStore PathTo5k HektaGroup