Avowal Limited

Avowal Limited Avowal Limited ni muuzaji aliyeidhinishwa wa mashine za Magner nchini Tanzania. Tunatoa suluhisho za kuamini

Tunajihusisha na uuzaji wa cash counters, mashine za EFD, pamoja na huduma za matengenezo na marekebisho ya mashine kwa viwango vya juu vya ubora.

12/03/2026

Karibu Avowal (T) Limited, Tunauza mashine za kuhesabu pesa zenye ufanisi mkubwa (Magner 125E, 1500, 2000 na 3500), Kwa bei nafuu kabisa. Pia tunatoa huduma ya service.

Wasiliana nasi sasa: 0784871549
Dar es salaam tupo: Mtaa wa Livingstone/Kipata

16/02/2026

Je, wewe ni mfanyabiashara unayetafuta mashine bora na za uhakika za kuhesabu fedha kwa usahihi wa hali ya juu?
Sisi tunauza mashine za kisasa za kuhesabia pesa zenye uwezo mkubwa wa kutambua noti bandia, kuhesabu fedha kwa kasi, na kuongeza ufanisi wa kazi zako za kila siku.
Fika ofisi zetu upate suluhisho la kuaminika kwa biashara yako.

Address

Livingstone/Kipata Street
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Avowal Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share