15/03/2026
Karibu 7 Days Deals 🤍📱
Tumefungua rasmi ofisi yetu mpya kwa lengo la kukupa experience bora zaidi — kuanzia huduma, mazingira mpaka ubora wa bidhaa zetu.
Hapa sio kununua simu tu, ni sehemu ya kupata uhakika, ushauri sahihi na huduma ya kiwango cha juu.
Tunaendelea kuhakikisha kila mteja anapata bidhaa original, huduma ya haraka na mazingira yenye comfort wakati wa kuchagua au ku-unbox kifaa chake kipya. ✨
Asante kwa support yenu inayoendelea kutufikisha hatua hii 🙏
Karibu ututembelee na ujionee tofauti mwenyewe.
— We serve the best.
📍 Tunapatikana Sinza Mori
+255 738 165 818
+255 782 691 016