01/09/2022
New model smartwatch 2022
Model :GS7 Promax
.
Hii NI moja ya saa ambayo inauwezo mkubwa na sifa boraa kulingana na smartwatch zengine unazo zifahamu.
📦 Sifa zake
👉 Unaweza kuunganisha na simu na ukaweza kupiga na kupokea kwenye saa yako.
👉 Ukisha unganisha na simu utaweza kuona notification za simu kwenye saa yako.
👉 Ni saa ya mazoezi inapima muda uliokimbia hatua ulizotembea , Kilomita ,Calories
👉 Inakuonesha mapigo ya moyo wako kwa sekundi unapiga mara ngapi.
👉 Inapima mzunguko wa oxygen Mwilini wako.
👉 Inakuonesha muda gani umelala .
👉Kioo chake ni Hd
👉Ina Calculater
👉 Waterproof haingii maji
👉 Unaweza kubadilisha wallpaper ya kioo chako ukaweka itayokupendezea ww
👉 Ukubwa wa screen 44mm
👉Unaweza kuunganisha na Simu ya Android na iphone
👉 Inakaa na chaji kwa muda mrefu zaidi
Wasiliana nasi ☎️ 0652 061 110