Dar Jumla na Rejareja

Dar Jumla na Rejareja Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dar Jumla na Rejareja, Electronics Store, Magila na Likoma, Dar es Salaam.

KARIBU DAR JUMLA NA REJAREJAβœοΈπŸ–
JIPATIE BIDHAA ZOTE ZA ELECTRONICS PAMOJA NA SIMU KWA BEI NAFUUπŸ’―πŸ€
Bidhaa zetu zote ziko na warrantyπŸ€πŸ˜Žβœ…οΈ πŸ“Œ
TUNAFANYA DELIVERY MIKOA YOTEοΈβœ…οΈπŸ”₯
πŸ“Kariakoo, Magila na likoma (Dar es salaam)
Wasiliana nasi kwa @0627686755

26/05/2026

KWA QUALITY NA CLEAR VOICE
SX21πŸ”₯πŸ”₯

TSH. 52,000/= TUUH

πŸ“ž0627 686 755

πŸ“TUPO KARIAKOO MTAA WA MAGILA NA LIKOMA πŸ“

16/05/2026

GLOBALSTAR 65 1,100,000πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
FREE BRACKET, HDMI, EXTENSION CABLE, TV GUARD
KWA DAR ES SALAAM DELIVERY NI BUREπŸ‘ŒπŸ”₯

12/05/2026

KENWOOD PRESSURE COOKER
SUFURIA 1 - 115,000
SUFURIA 2 - 125,000

SILVERCREST PRESSURE COOKER
SUFURIA 1 - 115,000
SUFURIA 2 - 125,000

ALYONS RICE COOKER - 55,000

QUIDES MULTICOOKER - 70,000

πŸ”₯ SAUTI YA UKWELI, EXPERIENCE YA LEVEL NYINGINE πŸ”₯Unajua ile feeling ya movie au muziki unaskia hadi unahisi k**a uko nda...
27/04/2026

πŸ”₯ SAUTI YA UKWELI, EXPERIENCE YA LEVEL NYINGINE πŸ”₯
Unajua ile feeling ya movie au muziki unaskia hadi unahisi k**a uko ndani yake? 🎬🎢
Hii ndio kazi ya Seapiano Soundbar 210W, siyo spika ya kawaida, ni upgrade ya maisha ya entertainment yako

πŸ’₯ Bass nzito, clear sound – kila beat inaishi
πŸ’₯ Wireless subwoofer – hakuna usumbufu wa waya
πŸ’₯ Perfect kwa TV, movies, music & gaming
πŸ’₯ Muonekano wa kisasa unaopendezesha sebule yako

Kwa Tsh 275,000 tu
Unapata sound system ambayo inabadilisha kabisa namna unavyotazama TV yako.

πŸ“ Tunapatikana Dar es Salaam – jumla & rejareja
🚚 Tunahakikisha unapata huduma ya haraka na uhakika

πŸ“ž +255 627 686 755

Usikubali kuendelea kusikiliza sauti ya kawaida wakati unaweza kupata EXPERIENCE ya kipekee.
Chukua yako leo, utajishukuru baadaye.

🚨πŸ”₯ NEW ARRIVALS KUTOKA Dar Jumla na Rejareja UBORA WA HALI YA JUU UMEWASILI! πŸ”₯🚨Sasa ni muda wa kuinua hadhi ya sebule ya...
23/04/2026

🚨πŸ”₯ NEW ARRIVALS KUTOKA Dar Jumla na Rejareja UBORA WA HALI YA JUU UMEWASILI! πŸ”₯🚨
Sasa ni muda wa kuinua hadhi ya sebule yako kwa hii SOLARMAX 65” SMART TV (webOS) πŸ“Ίβœ¨ Mchanganyiko wa teknolojia ya kisasa na muonekano wa kifahari!

πŸ’Ž FEATURES ZENYE NGUVU NA USHAWISHI:
βœ… 65 Inch UHD 4K Display – Picha kali sana, rangi halisi k**a uko ndani ya movie 🎬
βœ… webOS Smart System – Rahisi kutumia, access ya haraka kwa apps zote muhimu
βœ… Netflix, YouTube, Prime Video – Burudani zote mkononi bila kifaa cha ziada
βœ… Dolby Audio – Sauti ya cinema, nzito na clear πŸ”Š
βœ… Bluetooth & WiFi – Unganisha vifaa vyako kwa urahisi
βœ… Miracast (Screen Mirroring) – Tuma kila kitu kutoka simu hadi kwenye TV
βœ… Frameless Design – Muonekano wa kisasa unaopendezesha nyumba yako
βœ… HDMI Ports – Connection ya vifaa mbalimbali bila shida
βœ… ThinQ AI – Smart control kwa matumizi ya kisasa

🎁 BONUS KUBWA KWA WATEJA WETU:
βœ”οΈ Free Wall Bracket
βœ”οΈ Free HDMI Cable
βœ”οΈ Free TV Guard
βœ”οΈ 🚚 Delivery BURE ndani ya Dar es Salaam

πŸ’° Bei: 1,100,000 tu

Hii sio TV ya kawaida, Ni experience ya premium kabisa! πŸ”₯
πŸ“ž Wasiliana nasi sasa:
+255 627 686 755
⚑ Stock ni chache – wahi kabla hazijaisha!

πŸ”₯ PATA BURUDANI YA LEVEL NYINGINE NYUMBANI KWAKO! πŸ”₯Unatafuta TV kubwa, kali na ya kisasa? Hii hapa Smart Android TV Inch...
23/04/2026

πŸ”₯ PATA BURUDANI YA LEVEL NYINGINE NYUMBANI KWAKO! πŸ”₯
Unatafuta TV kubwa, kali na ya kisasa? Hii hapa Smart Android TV Inch 50 ni chaguo sahihi kabisa kwa familia yako! πŸ“Ίβœ¨
βœ… Picha kali (Clear & Realistic)
βœ… Inatumia internet – YouTube, Netflix, Apps zote unazopenda
βœ… Sound safi na yenye nguvu
βœ… Muonekano wa kisasa (Frameless design)

πŸ’₯ OFa MAALUM:
πŸ‘‰ Bei: 620,000 tu

🎁 Free Wall Bracket
🚚 Free Delivery kwa Dar es salaam

Usikose nafasi hii – badilisha sebule yako iwe k**a cinema leo hii! 🍿πŸ”₯
πŸ“ž Wasiliana nasi sasa:
+255 0627 686 755

πŸ”₯ Sauti Kali, Muonekano wa Kisasa, Chagua Ubora wa Kweli! πŸ”₯Unatafuta mfumo wa sauti utakaobadilisha kabisa burudani yako...
22/04/2026

πŸ”₯ Sauti Kali, Muonekano wa Kisasa, Chagua Ubora wa Kweli! πŸ”₯
Unatafuta mfumo wa sauti utakaobadilisha kabisa burudani yako ya nyumbani au biashara?

Model SP 2506 ndiyo chaguo sahihi kwako!

🎢 Ubora wa Sauti: Bass nzito na clear sound inayojaza chumba kizima – perfect kwa muziki, movies na hata events ndogo.
🎯 Design ya Kisasa: Muonekano wa kuvutia unaoendana na mazingira ya kisasa ya nyumbani au ofisini.
πŸ”Œ Matumizi Rahisi: Inaendana na vifaa mbalimbali – simu, TV na nyinginezo bila usumbufu.
πŸ’ͺ Imara na Inadumu: Imetengenezwa kwa ubora wa juu kuhakikisha inakuhudumia kwa muda mrefu.

πŸ’° Bei: 125,000 TU!
πŸ“ž Wasiliana nasi: +255 627 686 755

🚚 Tunapatikana Dar es Salaam – Jumla na Rejareja, na tunasafirisha mikoa yote!
πŸ‘‰ Usikose nafasi hii – ongeza burudani ya maisha yako kwa gharama nafuu leo hii!

πŸ”₯ OFa KUBWA YA MAKABATI YA NGUO πŸ”₯Unatafuta kabati imara, zuri na lenye mpangilio wa kisasa kwa bei nafuu? Usitafute tena...
20/04/2026

πŸ”₯ OFa KUBWA YA MAKABATI YA NGUO πŸ”₯
Unatafuta kabati imara, zuri na lenye mpangilio wa kisasa kwa bei nafuu? Usitafute tena! Sisi Dar Jumla na Rejareja tunakuletea makabati bora kabisa yatakayobadilisha muonekano wa chumba chako ndani ya muda mfupi.

βœ… Bei zetu ni rafiki kwa kila mtu:
β€’ Milango 2 – Tsh 80,000
β€’ Milango 3 – Tsh 90,000
β€’ Milango 4 – Tsh 100,000

✨ Kwa nini ununue kwetu?
βœ” Ubora wa hali ya juu – imara, inadumu muda mrefu
βœ” Muonekano wa kisasa unaopendezesha chumba chako
βœ” Rahisi kufunga na kutumia
βœ” Inahifadhi nguo zako kwa mpangilio na usafi
βœ” Tunauza jumla na rejareja – bei nafuu zaidi sokoni

🚚 Huduma zetu:
βœ” Tunapatikana Dar es Salaam
βœ” Tunatuma bidhaa mikoa yote Tanzania kwa haraka na usalama
πŸ“ž Wasiliana nasi sasa hivi: 0627686755
⚑ Usikose nafasi hii! Nunua leo ubadilishe maisha ya chumba chako – ubora unaonekana, bei inavutia!

Hisense 55 Inch 4K Smart TVPrice; 1,100,000 TU! πŸ˜πŸ“Ί Ultra HD 4K – picha kali sana, rangi halisi kabisa🎬 Furahia movie na ...
15/04/2026

Hisense 55 Inch 4K Smart TV

Price; 1,100,000 TU! 😍

πŸ“Ί Ultra HD 4K – picha kali sana, rangi halisi kabisa
🎬 Furahia movie na mpira k**a uko uwanjani
πŸ“± Smart TV – YouTube, Netflix na apps zote ndani yake
🎁 BONUS BURE KABISA: βœ”οΈ Wall Bracket
βœ”οΈ HDMI Cable
βœ”οΈ TV Guard
🚚 Delivery FREE hadi mlangoni kwako!
πŸ’₯ Hii si TV ya kawaida – ni experience kamili ya burudani!

πŸ“ž 0627 686 755

⚑ Stock ni ndogo – usichelewe!πŸ”₯πŸ”₯🀝

15/04/2026

BRAND NEW WIRELESS SOUNDBARπŸ”₯
TSARADIAβœ…οΈ

Price; 165,000/=

FEATURES
FM RADIOβœ…οΈ
BLUETOOTHβœ…οΈ
USBβœ…οΈ
AUXβœ…οΈ
LEDβœ…οΈ

πŸ“ž0627 686 755
WE SERVE YOU A ROYAL SERVICEπŸ“Œ

Address

Magila Na Likoma
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dar Jumla na Rejareja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dar Jumla na Rejareja:

Share