Dabe Tech

Dabe Tech 🚀 Full Stack Developer + Designer
🎨 Logos | UI/UX | Social Media Design
📍Tanzania 🇹🇿 – Let's grow your brand
View my portfolio & contacts👇

10/06/2026

Logo design

Cosmetics Labels Design and Printing
27/05/2026

Cosmetics Labels Design and Printing

23/05/2026

Cosmetics Labels - Design & Printing

22/05/2026

Logo Design

18/05/2026

Label design for Eishoke Hair Growth Butter

Biashara yako inahitaji zaidi ya social media account.✅Kuwa na official business website kunafanya biashara yako iwe pro...
11/05/2026

Biashara yako inahitaji zaidi ya social media account.

✅Kuwa na official business website kunafanya biashara yako iwe professional zaidi.
✅Website systems zinasaidia kuendesha operations za biashara, kuondoa upetuvu wa mapato na taarifa na kusaidia biashara kukua zaidi.
✅ E-commerce websites ni biashara kamili inayotatua changamoto na kuzalisha kipato

Unachelewa sana k**a hauna website kwa ajili ya biashara yako.

Dabe Tech tuna experience ya zaidi ya miaka mitatu (3+) ya kutengeneza Website za aina mbalimbali kwa wateja wetu.

Leo tunataka kutengeneza ya kwako, tukusaidie kui-positition biashara yako in a more professional way.

Wasiliana nasi leo, Let's build.

02/05/2026

logo re-design

✨ Cosmetic Label Design by Dabe Tech ✨Kwenye bidhaa za urembo, packaging ndiyo first impression.Label nzuri inaongeza mv...
23/04/2026

✨ Cosmetic Label Design by Dabe Tech ✨

Kwenye bidhaa za urembo, packaging ndiyo first impression.

Label nzuri inaongeza mvuto, uaminifu, na thamani ya bidhaa yako hata kabla mteja hajajaribu.
Kwa design hii, nilihakikisha inaonekana clean, elegant na professional — inayolingana na ubora wa bidhaa yenyewe.

Unauza skincare, haircare au beauty products?
Let your packaging speak for your brand. 🌿✨
📩 DM au WhatsApp: +255 627 150 007





21/04/2026

Cosmetics Labels Delivery to and

Kuanzia labels design mpaka printing. Na tunafanya delivery kote Tanzania.

Wasiliana nasi DM au WhatsApp https://wa.me/255627150007

🗞️ Habari Zako, Jukwaa LakoJe, wewe ni mwanahabari binafsi, blogger, unaendesha chombo cha habari, au una passion ya kua...
14/04/2026

🗞️ Habari Zako, Jukwaa Lako

Je, wewe ni mwanahabari binafsi, blogger, unaendesha chombo cha habari, au una passion ya kuandika na ku share habari zako?
Sasa unaweza kuwa na jukwaa lako binafsi la habari - bila kutegemea platforms nyingine.

Ninakusaidia kupata mfumo kamili wa tovuti unaokuwezesha:
✅ Kuandika na ku-post habari zako kwa urahisi
✅ Kuunganisha YouTube channel yako na mfumo wako
✅ Kujenga subscribers base (email au phone number list)
✅ Kuwa na Landing Page yako professional na inayovutia kuonyesha habari zako na kujenga uaminifu.

Kwa wanahabari binafsi - ni nafasi ya kujenga brand yako.
Kwa taasisi au media houses - ni njia ya kusimamia maudhui na kufikia hadhira yako kwa ufanisi zaidi.

Hii sio website ya kawaida - ni mfumo kamili wa kukuza brand yako ya habari na kukuza kipato kupitia maudhui yako 💻✨

📩 DM au WhatsApp kuanza leo

Address

Sakina
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dabe Tech posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share