AmePro Media

AmePro Media VIDEOGRAPHY , PHOTOGRAPHY & DRONE PILOT
Fashion | Potrait | Weddings | Engagement | Events | Branding | Graphics.
🌍Available for Travel✈️

Kids photoshoot zikipewa ufundi wa AmePro Media 📸✨Na wewe unatamani picha za mwanao ziwe na muonekano huu?📩 Weka booking...
11/09/2026

Kids photoshoot zikipewa ufundi wa AmePro Media 📸✨
Na wewe unatamani picha za mwanao ziwe na muonekano huu?

📩 Weka booking ya mwanao leo kupitia link kwenye bio au DM!

11/09/2026

Smooth camera movements pekee ndio zinazoweza kukupa muonekano huu🎥🔥

06/08/2026

😂😅 Good byee🙌

05/08/2026

Eehwiiih😂😂😅

RETOUCHING & LIGHTING ON POINT 📸✨Karibu studio kwetu, tunakupa huduma bora ya Photoshoot kwa ajili ya Birthday, Personal...
05/08/2026

RETOUCHING & LIGHTING ON POINT 📸✨

Karibu studio kwetu, tunakupa huduma bora ya Photoshoot kwa ajili ya Birthday, Personal Branding, au Kumbukumbu yako binafsi.

📲 Wasiliana nasi kufanya booking yako: 0683172247

05/08/2026

Rate this transition sequence 1-10✂️🔥
Fast cuts + beat sync = pure satisfaction🎬⚡️

STD 7 Graduation Vibe at St. Gaspar🎓
💬 Drop feedback yako, and let’s connect

03/08/2026

STD VII GRADUATION HIGHLIGHTS 🎓🎬
Tukiwa k**a AmePro Media, kila tukio kwetu ni kumbukumbu inayopaswa kuhifadhiwa kwa thamani na ubora wa hali ya juu. Hivi ndivyo tulivyok**ata matukio yote kwenye Mahafali ya Darasa la Saba - St. Gaspar Pre & Primary School. Just Intro

Unapanga tukio au sherehe hivi karibuni? Tuachie sisi kazi ya kupiga picha na ku-record video zenye muonekano wa tofauti! 📸🎥

📥 DM au Piga: 0683172247 kuweka booking yako.

Hashtags:

20/07/2026

Official Trailer: Mbwa Kala Dogi — Wadudu 🎬🔥
Hapa ni kionjo tu cha kile kinachokuja.
Je, uko tayari kuipokea? Drop emoji yako hapa chini! 👇

🎥 Directed & Edited by:

20/07/2026

Kila fremu ina sauti, kila rangi ina hisia zake. Hivi ndivyo tunavyopika kazi jikoni👨‍🍳🔥🔥
B-roll na Behind The Scenes za uandaaji wa video ya 'Mbwa Kala Dogi' kutoka kwa Wadudu....
🎥 Directed & Edited by:
🎶 Song: Mbwa Kala Dogi - Wadudu

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AmePro Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share