17/04/2026
AJIRA KWA MADEREVA
Afrinexus Logistic Ltd iliyoko Mbagala Rangi tatu, Dar es salaam. inahitaji madereva 50 wa Magari makubwa ya kubeba Kontena kati ya bandarini na ICD za Dar es salaam (Town Trip).
Mshahara: Kwa mujibu wa sheria
Posho: ya kuvutia kwa Kila kontena inayoongezeka ukitokea nje ya Dar es salaam na inalipwa papo hapo.
Sifa muhimu za dereva.
1. Leseni hai (class E)
2. Cheti cha udereva malori
3. TIN namba
4. NIDA namba
Karibu ufanye Driving Test, Upate Ajira.
Mawasiliano : 0782469599