11/06/2026
πππππ ππππ ππππ πππππππ πππππππ
Naomba kazi! SHA appeals of High contributions from any amount down to 500 monthly (6000 p.a) WhatsApp 0759 325270
πππππππ π
All this time, Tyrone alikua ashadrop Annaliza kwake hadi ashaoga anakuja kwa bed,lakini punde si punde,simu yake message ikaingia. Akashtuka akamua kucall. Annaliza ashapata ujumbe mtoto wake mambo si mazuri. Hata karibu atoke akiwa siekenye ju ya hofu.
Wabenzi nao,Saida na Tyrone waliamua leo hii,lazima katambe ππlero lero ni leeero,lero lero ni leeero.
Lakini wakiamua kujibamba,manze upande wa pili,huzuni machonzi na sintofajamu imejaa kwa Robert na Annaliza. Wamelia,ya kutosha,alafu cheki,Kefa ako hapo anasmile akicheka. He just wanted to put pain kwa Annaliza na Robert kwa kuua mtoto wao.
Usiku iliisha ikafika asubuhi,Tyrone kuamka akapata haya,kumbe Saida alikunywa pombe jana ju ya sherehe akalewa na ameanza kujiongelesha πππTyrone alikuja akamuuliza Saida,are you high ama? Saida akamwambia wewe ni husband wangu na usiniulize maswali za polisi. Saida hajawai lewa ni mara ya kwanza na sasa pombe inafanya anaongea ujinga,anaambia Tyrone,ushakua bwanangu na sasa huwezi nicontrol. Tyrone anashindwa huyu ni pombe inaongea ama ni Saida anaongeaπππ
Tufike kwa Kefa,yeye maisha inaendelea kawaida ashaamka na kitu cha kwanza alimcall Annaliza. Already anajua what he did but he just want to impose pain. Alimcall Annaliza akamuuliza umepata Kylian ama? Annaliza akamwambia dont bother,its over,Kylian is dead. Alafu Kefa akacheka na akakata simu na akasema aje "you should have remained loyal Annaliza"
Asha alikuja akauliza mamake,shida ni nini hujawai lewa,na umevaa nguo ya kulala unatembea nayo shida ni nini? Saida akamwambia mimi nishachoka kufurahisha kila mtu na sai sichukui orders kwa mtu,orders nachukua kutoka kwangu mimi πππSaida hajawai lewa,hii ni pombe inafanya kazi.
Ona Annaliza na Robert,hawaamini chenye kimefanyika.
πππππππ π
Robert alimcall Tyrone,akamwambia brother dont ask,something has come up,just hurry up ukuje, na akakata simu. Tyrone akashindwa kuna nini tena.
Saida bado ni kulewa tu wamejaribu kumpea chai lakini wapi,pombe ndio inazidi sasa ππTinah kanacheka,but Asha hacheki haamini mamake anaeza lewa hivi hadi anaambia Tinah huyu hakai mamangu kabisa. Nura ndio anakapitiaπππ
Tyrone ndio ako confused, ameitwa na Robert na tena Saida ndio huyo but Tinah alimwambia dad usijali wee enda sisi tutadeal na huyu.
Tinah na Asha wako nje huku ndani ni Nura amebaki peke yake. Punde si punde, Mathew akafika na k**a kawaida Mathew akataka kuongea na Nura lakini Nura alimwambia usijaribu ukanisumbua tafadhali πππenda nje saidia watu kubeba Saida.
Mathew alikuja akapata woi, Saida is wasted. Tinah aliambia Mathew enda kamuite Nura akuje tusaidiene tubebe hii ndovu πππ
Mathew alikuja kumuita Nura lakini Nura akamwambia sikiza, ukiendelea hivi nitaambia Tinah lakini Mathew akamwambia aje, Tinah hatakuamini ju anajua siezi date mtu k**a wewe. Nura akamwambia ooh,mtu k**a mimi maid sindio. Mathew alikuja akasahau yafaa aite Nura waende wabebe Saida. Tinah kuona wamekaa sana akakuja mwenyewe akauliza Nura,kwani hufiki? Nura akamuuliza kufika wapi tena? Hapo ndio Mathew akarealize woi hajaambia Nura alikua anaitwa πππKuna kastory Mathew came up with kenye alidanganya Tyrone jana ati Nura alipoteza childhood friend,kumbe aliambia Tinah same thingπππJu Tinah alishangaa wee mnakaa kwani mnaongea nini? Mathew akasema ni ile tu story ya Nura kupoteza childhood friend.
At this point,apart from mimi,wewe,Robert,Annaliza na Kefa,hakuna mtu mwingine amejua Kylian is no more.
Meanwhile....
Nikimalizia malizia,tafadhali
Naomba kazi before msahau kazi mi hufanya.
MONTHLY/ANNUAL SHA PREMIUM APPEALS/REDUCTIONS
1 From (Yearly) to 6000 per yer 500 Monthly CHARGES
2 6600-7000 to 6000 per yer 500 Monthly KES 330
3 7000-7400 to 6000 per yer 500 Monthly KES 420
4 7500-8400 to 6000 per yer 500 Monthly KES 550
5 9000-9400 to 6000 per yer 500 Monthly KES 620
6 9500-10400 to 6000 per yer 500 Monthly KES 690
7 10500-11600 to 6000 per yer 500 Monthly KES 730
8 12000-12400 to 6000 per yer 500 Monthly KES 780
9 13000-14400 to 6000 per yer 500 Monthly KES 850
10 15000-17500 to 6000 per yer 500 Monthly KES 900
11 18000-20000 to 6000 per yer 500 Monthly KES 1,000
12 21000-24000 to 6000 per yer 500 Monthly KES 1,150
13 25000-28000 to 6000 per yer 500 Monthly KES 1,350
14 29000-32000 to 6000 per yer 500 Monthly KES 1,550
15 33000-36000 to 6000 per yer 500 Monthly KES 1,750
16 37000-40000 to 6000 per yer 500 Monthly KES 2,000
17 41000-45000 to 6000 per yer 500 Monthly KES 2,350
18 Above 46000 to 6000 per yer 500 Monthly KES 3,000
Whatsapp Only on 0759 325270