Western Brief KE

Western Brief KE Stay informed with timely and reliable updates.
(2)

Western Brief KE is a trusted digital news platform delivering breaking news, politics, education, business, sports, and community stories from Western Kenya and across Kenya.

"Ili jamii ya Waluhya iweze kutwaa urais mwaka 2032, ni lazima tumuunge mkono Ruto mwaka 2027." - Fernandes Barasa Follo...
07/06/2026

"Ili jamii ya Waluhya iweze kutwaa urais mwaka 2032, ni lazima tumuunge mkono Ruto mwaka 2027." - Fernandes Barasa

Follow Brief Ke

"Wakati Rais alichukua uongozi 2022, nilikuwa ninampenda sana nikaita mtoto William Ruto, lakini sasa Mtoto akiwa shule ...
05/06/2026

"Wakati Rais alichukua uongozi 2022, nilikuwa ninampenda sana nikaita mtoto William Ruto, lakini sasa Mtoto akiwa shule watoto wengine wanamwambia Ruto Must Go, mpaka Mtoto ananiambia haendi shule tena, hata nimeregret sana." - Naomi Diana

Follow Brief Ke

05/06/2026

Ukipenda mumama atapea wewe joto

05/06/2026

Mbunge wa Navakholo, Emmanuel Wangwe, amesema kuwa ukipenda mumama hawezi kukukosea, mama analinda wewe kwa boma na mama anapea wewe joto.

Detectives from the Directorate of Criminal Investigations (DCI) have arrested comedian Eric Omondi over alleged involve...
05/06/2026

Detectives from the Directorate of Criminal Investigations (DCI) have arrested comedian Eric Omondi over alleged involvement in criminal activities in the city during protests against the rise in fuel prices.

Follow us Brief For news, updates

"Huu ndio utawala utakaotupeleka Singapore. Haijalishi ni akina Sifuna wangapi wanatupinga, safari ya kuelekea Singapore...
05/06/2026

"Huu ndio utawala utakaotupeleka Singapore. Haijalishi ni akina Sifuna wangapi wanatupinga, safari ya kuelekea Singapore itaendelea bila kuzuilika chini ya uongozi mahiri wa Rais Ruto." - Senator, Samson Cherargei

"Jana afisa wa Kaunti ya Nairobi alishikwa na pesa ambazo alipora kwa Kaunti hiyo, serikali hii yote ni ya waporaji." ~ ...
05/06/2026

"Jana afisa wa Kaunti ya Nairobi alishikwa na pesa ambazo alipora kwa Kaunti hiyo, serikali hii yote ni ya waporaji." ~ Matiang'i

"Sisi watu wa Western tunasimama na Ruto kwa sababu ya kutuwekea pesa mfukoni, Uhuru alikuwa anapeana pesa watu wakikula...
05/06/2026

"Sisi watu wa Western tunasimama na Ruto kwa sababu ya kutuwekea pesa mfukoni, Uhuru alikuwa anapeana pesa watu wakikula bila maendeleo." ~ Emmanuel Wangwe

Address

Kakamega

Telephone

+254743640206

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Western Brief KE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Western Brief KE:

Shortcuts

Share