Habari za RFI kupitia Racomfm 1055mhz

Habari za RFI kupitia Racomfm 1055mhz Kupatiaya wakaaji habari zavijiji mwetu.

21/10/2024

Bonjour

22/06/2020

Jumatatu nyingine tulivu, nasi hatujambo hapa mjini Bonn, tuko tayari kukujulisha ulimwengu unaendaje. Karibu sana.
tawala nchini Kenya cha Jubilee kimeidhinisha kutimuliwa kwa Kiongozi wa Wengi katika Bunge la Taifa nchini Kenya Aden Duale. Nafasi yake imependekezwa kuchukuliwa na mbunge wa Kipipiri Amos Kimunya kwenye mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika mapema leo.
la afya duniani WHO limeripoti idadi kubwa kabisa ya maambukizi ya virusi vya corona katika muda wa saa 24 zilizopita iliyofikia watu laki moja na 83,000.
ya Uganda imewapatia hifadhi wakimbizi 4,000 waliokimbia mapigano ya hivi karibuni nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Wakati huo shirika la UNHCR limeonya kuwa halitaweza kuendelea na shughuli zake kuanzia mwezi Septemba ikiwa hawatapata ufadhili zaidi kwa wakimbizi zaidi ya milioni moja nukta nne walioko Uganda.
imetahadharisha juu ya kuongezeka mivutano kati yake Ethiopia na Misri kuhusu mpango wa Ethiopia wa kuanzisha bwawa la umeme kwenye mto Nile na imeshauri kufanyike mazungumzo zaidi na ili kufikia makubaliano juu ya suala hilo.
ya Libya inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa imeishutumu Misri kwa kutoa kitisho cha kujiingiza kijeshi nchini humo na imesema kuwa kitisho hicho ni tangazo la vita.

21/06/2020

đź”´ : bulletin du samedi 20 juin đź”´

• premier cas dans la province du Haut-Uélé
• 154 nouveaux cas confirmés, dont 124 à Kinshasa, 20 dans le Haut-Katanga, 9 au Nord-Kivu et 1 dans le Haut-Uélé
• 34 nouvelles personnes guéries
• 5 décès nouveaux décès
• 470 cas suspects détectés après investigations

Depuis le début de l’épidémie, le cumul des cas est de 5.826, dont 5.825 cas confirmés et 1 cas probable. Parmi eux, il y a eu 841 personnes guéries et 130 décès (129 confirmés et 1 probable).

Les 12 provinces touchées :
• Kinshasa : 5.198 cas
• Kongo-Central : 270 cas
• Haut-Katanga : 172 cas
• Sud-Kivu : 108 cas
• Nord-Kivu : 65 cas
• Tshopo : 3 cas
• Kwilu : 3 cas
• Ituri : 2 cas
• Kwango : 1 cas
• Haut-Lomami : 1 cas
• Equateur : 1 cas
• Haut-Uélé : 1 cas

Bulletin du Secrétariat Technique de la Riposte contre le Covid-19 en Rdc

Suive chaque les informations de le RFI  de 06h30-08h00 Ă  la Radio Radio Communautaire de Radio Communautaire de Masisi/...
24/11/2019

Suive chaque les informations de le RFI de 06h30-08h00 Ă  la Radio Radio Communautaire de Radio Communautaire de Masisi/ Raco.Fm 105.5 MHZRadio Communautaire de Masisi/ Raco.Fm 105.5 MHZ Raco.Fm 105.5 MHZ

22/01/2019

Depuis hier Ă  13h15 jusqu'Ă  05h 25 min Des afrottement entre FARDC et FDL dans le gpment BIIRI (village :LWANGUBA ,KIBUYE).

19/07/2018

Mpendelevu k**a raĂŻsi kabile hajieleze lakini anasema k**a uchaguzi utafanyika tu 23/12/2018.uniwazo gani ?

08/06/2018

Adresse

Masisi

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Habari za RFI kupitia Racomfm 1055mhz publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager